njumu za kosovo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 3,820
- 9,625
Kwa akili zako nakupa mfano mmoja. Mugabe alipinduliwa hakuna aliyepigwa risasi ila wanajeshi walio fanya hivyo inadhani walienda wakiwa wameshikilia miswaki?Kwa akili zako mapinduzi hadi watu wapigane risasi!?
Umeona ufahari kutukana nchi yako eeenh?Mapindizi hufanyika zaidi kwenye banana republics zisizo na demokrasia iliyopevuka.
Hivyo, hilo kwa sasa haliwezi kutokea Israel.
Israel ina uchumi mzuri. Hakuna kabisa sababu ingine yoyote ile ya kufanya mapinduzi ya kijeshi ilhali taasisi za kidemokrasia zipo na zinafanya kazi vizuri.
Netanyahu anaweza kuondolewa madarakani kupitia taratibu zilizopo kikatiba na kisheria.
Naliamini jeshi la Israel. Ni taasisi inayoendeshwa kwa akili, siyo kama JWTZ ilivyosheheni vilaza 🤣 kuanzia juu, katikati, pembeni, mpaka chini.
IDF haiwezi kabisa ku risk jambo kama hilo huku wakijua nchi yao imezungukwa na mahasimu kila kona.
Naona uko kwenye denial unayoitumia kama coping mechanism.Hayo ni mawazo yako ambayo kwa kiasi kikubwa ni nje na uhalisia ulioko Israel.
Nani kakudanganya sasa hivi Israel iko na uchumi mzuri?
Uchumi wa Israel uko na shida isipokua unconditional financial aids kutoka USA ndio zinaifanya Israel ionekane bado inasimama.
Kuna sababu lukuki zinazopelekea kufanyika kwa mapinduzi,japo utawala wa kizayuni hauwezi kuruhusu.
Israel hakuna demokrasia,kama kungekua na demokrasia tusingeona wale Orthodox jews wakiburuzwa kama magunia waingizwe jeshini.
Pia tusingeona kiongozi asiyependwa "Netanyahu" akibaki madarakani licha ya raia kutokumpenda.
Hakuna mapinduzi bila silaha, hata kama hazitatumika. Labda iwe kuna mapinduzi mapya ya kusutuna mpaka mtu aridhie kuondoka.Kwa akili zako mapinduzi hadi watu wapigane risasi!?
Kusema ukweli si kutukana.Umeona ufahari kutukana nchi yako eeenh?
We jamaa uko sahihi sanaaa kama wanabisha wahamie Guinea Ikweta kw braza kiparaHakuna mapinduzi bila silaha, hata kama hazitatumika. Labda iwe kuna mapinduzi mapya ya kusutuna mpaka mtu aridhie kuondoka.
Hakuna kitu kama hicho kwenye mature democracy.
Just another fake news wishcasting.
The United States will never ever let its only reliable ally in the Middle East fall to a putsch.
And nor will Israelis, either.
I think you’re conflating apples to oranges here.Democracies za kweli huwa hazifanyi apartheid.
Two different laws for people living in the same country.
Kule kuna hata separate roads for people of different ethnicity and religion.
Hawa wanapashaPOSSIBLE MILITARY COUP IN ISRAEL
Hal Turner World November 06, 2024
Video below seems to confirm there is a POSSIBLE military Coup d 'Etat taking place right now in the state of Israel!
Thousands of Israeli troops, in uniform are marching toward Prime Minister Benjamin Netanyahu's location and word on the street (UNCONFIRMED) is that they intend to throw him out, after he fired Defense Minister Yoav Gallant.
This is a fast developing story and it is tough to get factual information, but I will update below as information becomes available.
It is UNCONFIRMED report, so it is just speculation.Impossible!
Lakini, Gallant wanampendea nini? Mbona taharuki imekuwa kubwa? Niliona kwenye taarifa ya habari hadi wananchi waliandamana japo kwa uchache.
That's funny in a way that makes you laugh out loud, even when you least expect it.Mapindizi hufanyika zaidi kwenye banana republics zisizo na demokrasia iliyopevuka.
KimeunanaPOSSIBLE MILITARY COUP IN ISRAEL
Hal Turner World November 06, 2024
Video below seems to confirm there is a POSSIBLE military Coup d 'Etat taking place right now in the state of Israel!
Thousands of Israeli troops, in uniform are marching toward Prime Minister Benjamin Netanyahu's location and word on the street (UNCONFIRMED) is that they intend to throw him out, after he fired Defense Minister Yoav Gallant.
This is a fast developing story and it is tough to get factual information, but I will update below as information becomes available.