njumu za kosovo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 3,820
- 9,625
Huwa inatokea unapochapwa mikofi mizito mizito baadae unageuka mbea , ukisikia tu yule mbabe wako nae kachapwa hata hujiulizi mara mbili unatoka shimoni kwako unaanza kupiga piga domo na wewe ndo hiki,
Baada ya Yahud kufanya Ubartazar kwa waarabu nao wamegeuka wambea wambea
Baada ya Yahud kufanya Ubartazar kwa waarabu nao wamegeuka wambea wambea