Canto
Senior Member
- Sep 27, 2014
- 110
- 41
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hii air mwaka 2007 nikiwa st pio ilikiwa nachezea mpira boarding school kibaigwa paleJordan 1 Mid Black Toe White Gym Red
$3200View attachment 2864702View attachment 2864703View attachment 2864704View attachment 2864706
ndio mahiVans?
Hiyo Ndula Ishanipaga mchumba chuga hiyo ujue😂Kwanini lakini😂😂
😂😂 dahHiyo Ndula Ishanipaga mchumba chuga hiyo ujue😂
Jamaa amepost alichovaa mnaponda Ila nyinyi mnapost vya kwenye matangazo ya Watu😂Huna kiatu hapo
"Flexibility" kwenye kusimamia kucha🙈🤣🤣😂😂 dah
Sasa kwanini waiwekee na sehemu za vidole
Nakazia😊😅Kupendeza ni suala la matching...viatu,nguo ulizovaa na namna ulivyo.
Hivi si tunavaliana eeh? Nakuja😜
Hiki sasa ndio kiatu🤣🤣
Haya Safi Sana Ukipata Na Ile Inaitwa Lang'ata Ujue Mguu Ndiyo Utakaokwisha Makobazi Yapo Vile Vile