Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,104
- 29,178
mahiiii unavaaa AF1 kwanza unaenda wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mahiiii unavaaa AF1 kwanza unaenda wapi
Mali safi hii tajiri wangu
lete hela boss😊😊😊na nilivyofuliaMali safi hii tajiri wangu
Wote tumefuloa boss. 😅😅😅lete hela boss😊😊😊na nilivyofulia
boss kama wewe unafuliajeWote tumefuloa boss. 😅😅😅
Hujui tu Hali halisi boss wanguboss kama wewe unafuliaje
😃😀😄😅😁Anaivaa Mama Abdull Hiyo Kwenye Uchaguzi 2025CCM Mbele kwa mbeleView attachment 2871207
Wewe bado ni mvulanaHapo viatu vizuri ni air force na air max ,Zingine zote dust
Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
Niliziacha Mgombani...Kazichukue kabisa[emoji3][emoji3]Hivi si tunavaliana eeh? Nakuja[emoji12]
Hii janja naifahamu, nakuja🤣🤣🤣Niliziacha Mgombani...Kazichukue kabisa[emoji3][emoji3]
[emoji3531]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Fanya Chap.Hii janja naifahamu, nakuja[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mshahara wa mtu kwa Mwezi huu$3200
Katika vitu ambavyo vinafanya uonekane smart ni kiatu ulichovaa, kama umevaa kiatu kibovu basi hata juu utupie vipi watu watakuona mchafu tu.
Naombeni mnitajie raba au kiatu ambacho kinadumu na ni kizuri. Binafsi napenda kuvaa Lacoste, Clark's na Ecco.
Tupia na wewe kiatu ulichovaa Leo tuone View attachment 2864465View attachment 2864466
Safi vizuri hivyo
Safi vizuri hivyo