Post SMS za vichekesho na utani hapa

Post SMS za vichekesho na utani hapa

abiri:shusha
konda:dereva acha.
abria:konda ninashuka
konda:mi nina kanga
abiria wote teh teh te
 
Kumbuka kunguru nae ni ndege lakin habebi abiria
 
Hata uwe na pea nyingi za viatu huwez kulala navyo kitandani
 
Back
Top Bottom