maestro2014
Member
- Jan 1, 2014
- 99
- 18
Lakini kumbuka ... hata Bakhresa naye ana shida lakini sio ya pesa.
Basaidi anaweza kuwa baba yako lkn bakharesa hawezi kuwa babayako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini kumbuka ... hata Bakhresa naye ana shida lakini sio ya pesa.
Lakini Afisa Biashara anaikagua.Hata duka lina leseni ila trafki hakagui.
Mwanaume hata awe bahili vipi, hawezi kumpa mwanamke mimba nusu
Hata uwebingwa wa muendelezo ila kamwe huwezi kuendeleza ndoto ilipo ishia
maji ni uhai ila yanaua
Pengine wewe si mfuatiliaji wa haya makitu... nadhani ukifuatilia ndio utakuwa judge mzuri... wenzio wana maneno machafu balaa.... na upande wao wanajisifia sasa kwakuwa wengine tunaufahamu na hizi dini tokea zilivyoanza na vitu zinavyokataza hatuwezi kunyamaza.... kwakuwa ni evidence zipo haziwezi kuwa machukizo ni ukweli ulivyo na haubadiliki na sie wala hatuongezi kitu tunanukuu tu pole sana.... dini si mambo ya kificho kama wengine wanavyofanya... na kwa sababu ya uficho wanaogutuka baadae hupoteza kuamini na hicho ndicho kinakuwa machukizo kwa kusababisha waumini wasepe... na haijaanza leo tokea enzi na enzi hizo..... Ni vizuri kuelewa hivyo hutodanganywa wala kuacha wengine wadanganywe.... humu tunawekana sawa tu... ila inategemea utaingiaje.... ukienda ovyo unajibiwa ovyo ukija vizuri unajibiwa vizuri... ndio miafrica tulivyo kasema Nyani Ngabu