Post SMS za vichekesho na utani hapa

Mke; Mume wangu kati ya bia na mimi nani ni muhimu?

Mume; Wacha kufananisha bia na upuuzi wewe
 
mwalimu: mtu tajiri kwa kiengeleza anaitwa RICH, masikini anaitwajee?
wanafunzi: MAVOKOOOOO!
 
Umefanya utafiti wa kutosha na ukajiridhisha kwamba kweli hayaambukizi?

Hili hata haiitaji utafiti mkuu,maumivu= Mfumo wa ufahau, labda kama mnashea mfumo mmoja ila mtu akiumia,hawezi kumuambukiza mwenzie maumivu yake!
 

Cool Gentleman, Leo nimecheka kicheko ambacho sijacheka Muda mrefu sanaa.
 
Kila mtu ana kasiri kake "kachafu"....kachafu mpaka saa hivi unaposoma hapa unaona noumer!
 
mama mmoja alikuwa mjamzito, sasa mwanamke akiwa mjamzito mara nyingi huwa wanapenda kupunga upepo hadi ikulu hivyo huwa hawaweki kufuli ikulu!

Mama wa watu kajiachia na dela lake huku anapunga upepo, sasa alikuwa na kitoto cha miaka minne kinacheza kwa mbele yake. Sasa kwakuwa mama kajiachia yule dogo akawa kaiona ikulu.

Dogo akamwambia mama yake, mama nikwambie utazaa mtoto wa jinsia gani? Mama akasema niambie mwanangu! Dogo akamwambia utazaa mtoto wa kiume! Mama akamuuliza kwann mwanangu umesema nitazaa wa kiume?

Dogo akajibu nimeona ndevu zinachungulia!!!
 

maskini hana kinyongo
 
YANGU HII:
Msee moja alikuwa anataka kuoga kichwa.
BABA: wapi beseni?
MKE:hapo nje.
GIDEON:usikoge na hiyo beseni kwa sababu iko na acid.
BABAπŸ™ajifanya hasikii na kuanza kuoga)
MAMAπŸ™huku akimwangalia bwanake)ha! ha! ha! wapi nywele?
BABAπŸ™kwa kicheko kikubwa,anaangalia kwa beseni na kuona nywele yake yote ikiwa inalea juu ya beseni)
GIDEONπŸ™Kwa Kicheko) si nilikwambia baba.
BABA:Kwa nini umenifanyia hivi mwanangu?....Swali: nani mwenye laana hapo? Baba, mama au mtoto.
 
METHALI:
Kikulacho kina meno.
Asiyesikia la mkuu huvutwa kazi.
Mtoto wa nyoka kanyoka.
Mtoto akililia wembe mpe labda ana ndefu.
Kelele za chura hazifanyi lolote.
 
Nasikia mbwa wenu waoga, wezi wakivamia wanaondoka wakiimba " I am walking away, from the troubles in my life"..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…