Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
(Joni) dogo wa darasa la kwanza kafika shule akaanza kulalamika kwa mwalimu wake wa darasa kwamba la kwanza si saizi yake na anataka arushwe hadi darasa la tatu kwa maana anaamini ana akili kumzidi hata dada yake ambaye yuko darasa la tatu. Ticha wa darasa kuona dogo kazidi kupiga kelele na kusumbua akamchukua akaenda naye kwa mwalimu mkuu. Ticha wa darasa: Huyu mtoto hata simuelewi, darasani anapiga kelele kwamba anataka apelekwe na darasa la tatu kwamba la kwanza si saizi ya akili zake.
Ticha mkuu akapigwa: Ngoja nimuulize maswali ya la tatu akishindwa arudi darasani na akae atulie vinginevyo acheze na bakora. We mtoto, tatu mara tatu ngapi?
Joni: Tisa mwalimu.
Ticha mkuu: Tisa mara 4?
Joni: 36
Basi ticha mkuu akamkandamiza dogo maswali kibao ya darasa la tatu dogo akawa anapatia.
Ticha mkuu: mwalimu mi naona kijana yuko sawa, hebu mpeleke tu darasa la tatu, fanyeni utaratibu wa kumuingiza kwenye atendensi ya darasa la tatu.
Ticha wa darasa: sawa mwalimu ila ngoja nimuulize maswali zaidi. Joni ni kitu gani ambacho ng'ombe anavyo vinne na mimi ninavyo viwili?
Joni: Miguu
Ticha: Kitu gani unacho ndani ya kaptula yako ya shule ambacho mimi sina? (Ticha mkuu akashtuka kuhusu hilo swali)
Joni: Mifuko
Ticha: Kitu gani mbwa anakifanya halafu binadamu anakikanyaga?
Joni: Kujisaidia haja kubwa njiani. (ticha mkuu mdomo ukawa uko wazi anashangaa)
Ticha: Kitu gani ukikiingiza ndani kinakuwa kigumu na cha rangi kama nyekundu au pink lakini kikitoka kinakuwa kilaini na kinanata nata? (Ticha mkuu jicho likamtoka lakini kabla hajamzuia dogo kujibu dogo akatoa jibu)
Joni: Big G.
Ticha: Kitu gani mwanaume anakifanya akiwa amesimama, mwanamke akiwa amekaa na mbwa akiwa kasimama kwa miguu mitatu?
Joni: Kujisaidia haja ndogo.
Ticha mkuu akaanza kutetemeka.
Ticha: Neno gani linaanza na herufi K na linaishia na herufi A ambalo huleta raha sana watu wakilitamka?
Joni: KULA
Ticha mkuu akavuta pumzi ndefu halafu akazishusha akasema: Mwalimu naona mpeleke Joni darasa la tano. Maswali yote sita ya mwisho mimi mwenyewe nimekosea majibu yake.
Hata mwizi afuzu vp wiz hawez kujiibia mwenyewe.
jamaa nimchafu mpaka kivuli chake kimemkimbia
Pateni picha mnaamka asubuhi mnaangalia nje mnakuta hakupo!
acha zako wew upo nje ya threadPengine wewe si mfuatiliaji wa haya makitu... nadhani ukifuatilia ndio utakuwa judge mzuri... wenzio wana maneno machafu balaa.... na upande wao wanajisifia sasa kwakuwa wengine tunaufahamu na hizi dini tokea zilivyoanza na vitu zinavyokataza hatuwezi kunyamaza.... kwakuwa ni evidence zipo haziwezi kuwa machukizo ni ukweli ulivyo na haubadiliki na sie wala hatuongezi kitu tunanukuu tu pole sana.... dini si mambo ya kificho kama wengine wanavyofanya... na kwa sababu ya uficho wanaogutuka baadae hupoteza kuamini na hicho ndicho kinakuwa machukizo kwa kusababisha waumini wasepe... na haijaanza leo tokea enzi na enzi hizo..... Ni vizuri kuelewa hivyo hutodanganywa wala kuacha wengine wadanganywe.... humu tunawekana sawa tu... ila inategemea utaingiaje.... ukienda ovyo unajibiwa ovyo ukija vizuri unajibiwa vizuri... ndio miafrica tulivyo kasema Nyani Ngabu
(Joni) dogo wa darasa la kwanza kafika shule akaanza kulalamika kwa mwalimu wake wa darasa kwamba la kwanza si saizi yake na anataka arushwe hadi darasa la tatu kwa maana anaamini ana akili kumzidi hata dada yake ambaye yuko darasa la tatu. Ticha wa darasa kuona dogo kazidi kupiga kelele na kusumbua akamchukua akaenda naye kwa mwalimu mkuu. Ticha wa darasa: Huyu mtoto hata simuelewi, darasani anapiga kelele kwamba anataka apelekwe na darasa la tatu kwamba la kwanza si saizi ya akili zake.
Ticha mkuu akapigwa: Ngoja nimuulize maswali ya la tatu akishindwa arudi darasani na akae atulie vinginevyo acheze na bakora. We mtoto, tatu mara tatu ngapi?
Joni: Tisa mwalimu.
Ticha mkuu: Tisa mara 4?
Joni: 36
Basi ticha mkuu akamkandamiza dogo maswali kibao ya darasa la tatu dogo akawa anapatia.
Ticha mkuu: mwalimu mi naona kijana yuko sawa, hebu mpeleke tu darasa la tatu, fanyeni utaratibu wa kumuingiza kwenye atendensi ya darasa la tatu.
Ticha wa darasa: sawa mwalimu ila ngoja nimuulize maswali zaidi. Joni ni kitu gani ambacho ng'ombe anavyo vinne na mimi ninavyo viwili?
Joni: Miguu
Ticha: Kitu gani unacho ndani ya kaptula yako ya shule ambacho mimi sina? (Ticha mkuu akashtuka kuhusu hilo swali)
Joni: Mifuko
Ticha: Kitu gani mbwa anakifanya halafu binadamu anakikanyaga?
Joni: Kujisaidia haja kubwa njiani. (ticha mkuu mdomo ukawa uko wazi anashangaa)
Ticha: Kitu gani ukikiingiza ndani kinakuwa kigumu na cha rangi kama nyekundu au pink lakini kikitoka kinakuwa kilaini na kinanata nata? (Ticha mkuu jicho likamtoka lakini kabla hajamzuia dogo kujibu dogo akatoa jibu)
Joni: Big G.
Ticha: Kitu gani mwanaume anakifanya akiwa amesimama, mwanamke akiwa amekaa na mbwa akiwa kasimama kwa miguu mitatu?
Joni: Kujisaidia haja ndogo.
Ticha mkuu akaanza kutetemeka.
Ticha: Neno gani linaanza na herufi K na linaishia na herufi A ambalo huleta raha sana watu wakilitamka?
Joni: KULA
Ticha mkuu akavuta pumzi ndefu halafu akazishusha akasema: Mwalimu naona mpeleke Joni darasa la tano. Maswali yote sita ya mwisho mimi mwenyewe nimekosea majibu yake.
Mbona nyingi watu wanarudia rudia tu, ndo kusema wameishiwa ubunifu ama????
Hata uwe na imani kali vipi, huwezi kusali wakati unafanya mapenzi
Lakini kumbuka, daima mpe asiyekupa. Ukimpa aliyekupa, hujampa bali umemlipa