kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,457
- 5,893
Kipi ambacho hujaelewa poyoyo wewe
Hebu acha uhanitthi basi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipi ambacho hujaelewa poyoyo wewe
Narudia swali kipi ambacho hujaelewa hapo team domo, au unajitoa ufahamu, kama unajua sana English nenda kamfundishe bladfaken
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]Katuangusha sana washabiki wake. Yaleyale ya Morrison!
Huyo Harmonize tangu zamani huwa anajitahidi sana kuonesha hana matatizo na anataka amani lakini wenzake ni chatu kweli kweli.Diamond alivo na karoho kagumu hatothubutu kujibu
Ndio aina fulani ya taarabu iliyochangamkaHarmonize anaimba taarab una kichaa
Bado teuzi zinampa stress ,mpuuze mkuuDada hv uko sawa wew