Random attacks are so stupid 🚮🚮 Mimi ni CCM sio ChademaCHADEMA mnahubiri demokrasia ambayo nyie wenyewe hamuifuati. Mnataka watu wote waseme mnachotaka nyie kusikia. Huo ndo uhuru wa maoni mnaouhubiri? Ni upumbavu wa hali ya juu kutaka hadi Mo Dewji aongelee kesi ya mropokaji Lissu iliyoko mahakamani.
Good mkuu na wewe unajitambua km mimiRandom attacks are so stupid 🚮🚮 Mimi ni CCM sio Chadema
Wewe toa hii ID yako fake halafu semaTangu huyo ponjoro atekwe (kubakwa?) huwezi kumsikia akisema chochote dhidi ya hii serikali dhalimu ya tangagiza.
Nayeye anatumia VPN?😳😳Nimeona post ya Mo Dewji katika pitapita zangu X leo. Nimeona kapost habari ya Al Jazeera inayoonesha video ya mtoto wa kike wa Palestine aliyeuawa makusudi na Israel akiwa anaenda kuchota maji
Mo amepost habari hii akaandika caption hii "Injustice 😥"
Sasa kwenye comments Watanzania wanamtupia maneno Mo kuwa "wewe ni mnafiki, unapost ya Palestine kwani injustice ya hapa nchini kwako huioni?"
Ingawa Mo hana kosa, ila watu wameonesha kuchukizwa na jinsi watu wenye influence kubwa wanavyokaa kimya juu ya injustice inayoendelea hapa Tanzania
Utekaji, kesi ya Lissu, waumini wa Gwajima nk
Post yenyewe ni hii hapa. Inabidi uwe na VPN ili uweze kufungua X.
Unaweza kusoma comments za Watanzania ukiscroll kwenye hiyo post
View: https://x.com/moodewji/status/1957234434673098760?t=tcAQB8hN_Ie3zG2kjy2gIQ&s=19
hawa hapa siyo kwao, wao ni wahindi, hiyo haifutiki. wapo hapa kuchuma. Hapa siyo kwao! Nkiwa rais nawafurusha kama Idd AminNimeona post ya Mo Dewji katika pitapita zangu X leo. Nimeona kapost habari ya Al Jazeera inayoonesha video ya mtoto wa kike wa Palestine aliyeuawa makusudi na Israel akiwa anaenda kuchota maji
Mo amepost habari hii akaandika caption hii "Injustice 😥"
Sasa kwenye comments Watanzania wanamtupia maneno Mo kuwa "wewe ni mnafiki, unapost ya Palestine kwani injustice ya hapa nchini kwako huioni?"
Ingawa Mo hana kosa, ila watu wameonesha kuchukizwa na jinsi watu wenye influence kubwa wanavyokaa kimya juu ya injustice inayoendelea hapa Tanzania
Utekaji, kesi ya Lissu, waumini wa Gwajima nk
Post yenyewe ni hii hapa. Inabidi uwe na VPN ili uweze kufungua X.
Unaweza kusoma comments za Watanzania ukiscroll kwenye hiyo post
View: https://x.com/moodewji/status/1957234434673098760?t=tcAQB8hN_Ie3zG2kjy2gIQ&s=19
Maoni ya wananchi si ya CHADEMA acheki kukalili kama kila maoni yanayo pinga mambo ya hovyo yatakuwa ni ya CHADEMA basi hiki ndicho chama cha wananchi haswa sio CCM iliyo tekwa na mafisadi.CHADEMA mnahubiri demokrasia ambayo nyie wenyewe hamuifuati. Mnataka watu wote waseme mnachotaka nyie kusikia. Huo ndo uhuru wa maoni mnaouhubiri? Ni upumbavu wa hali ya juu kutaka hadi Mo Dewji aongelee kesi ya mropokaji Lissu iliyoko mahakamani.