Post (za ualimu) zimewekwa kama dakika 5 na zikaondolewa!

Acha uzushi majina ya Ajira huwa yanatoka katika filez za PDF ama DOC. so kama yangetoka watu wangekuwa wamesha Download kitambo. Ina maana TZ nzima ameyaona jamaako tu?

Fact, jamaa akajipange kuja kudanganya upya.
 
jamani mwezi huu hautapita ajira zitakuwa nje,ila kinachonichekesha heti ukaripoti na cheti cha kuzaliwa,wakati wanampatia mtu boom wailkuwa hawajui km ni mtz?
 
unauhakika mkuu siyo kukisia tu
 
jamani mwezi huu hautapita ajira zitakuwa nje,ila kinachonichekesha heti ukaripoti na cheti cha kuzaliwa,wakati wanampatia mtu boom wailkuwa hawajui km ni mtz?

Ulipewa mkopo bila cheti cha kuzaliwa?
 
Nime kaa chumbani na rafiki yangu, mara akatumiwa sms post zimetoka waambie na wenzako, tembelea MOE, jamaa mbio mpaka kwenye simu lakin kutazama hakuna...
Tukaona labda kwa simu haionyeshi, washa PC nako hamna kitu, tulipo mpigia jamaa akaapia mara mbili mbili ni kweli yamewekwa na sio mtu wa matani !!
Akasema tumpe jina arudi cafe, ile anarudi akasema wamesha yatoa !!
Kwa hiyo mnao subiri mkae chonjo!!

teh teeh teeh eeeh...
 
bora niwe tomaso skuamini awaja weka acha kuwapa watu presha kama kuweka wataweka ndo kazi yao usiwe mzushi jiamini dogo
 
jamani mwezi huu hautapita ajira zitakuwa nje,ila kinachonichekesha heti ukaripoti na cheti cha kuzaliwa,wakati wanampatia mtu boom wailkuwa hawajui km ni mtz?

Kwani ww Unafikiri wote wamesoma Kwa Boom???

Kama wamekwambia uripoti na nyaraka kadhaa ni kufanya Recruitments na Confirmations juu ya majina yako n.k
 
jamani mwezi huu hautapita ajira zitakuwa nje,ila kinachonichekesha heti ukaripoti na cheti cha kuzaliwa,wakati wanampatia mtu boom wailkuwa hawajui km ni mtz?

Reasoning ya kitoto.. yani fikra zako zinakwambia kwamba watu wote wamesoma kwa bumu.
 
Back
Top Bottom