Post (za ualimu) zimewekwa kama dakika 5 na zikaondolewa!

Post (za ualimu) zimewekwa kama dakika 5 na zikaondolewa!

jamani mwezi huu hautapita ajira zitakuwa nje,ila kinachonichekesha heti ukaripoti na cheti cha kuzaliwa,wakati wanampatia mtu boom wailkuwa hawajui km ni mtz?

kwenye red
=eti.
 
We jamaa kweli mburula yeye amezionaje hizo post kabla hajazidownload? coz majina yanakuja kwa mtindo wa PDF so majina yangebaki kwenye adobe reader yake.

Acha kutishia watu nyau may be useme mwezi ujao ntakuelewa but not now
 
acheni kuwapotosha watu..hii post kila mwaka inapostiwa sijui lengo lake ni nini. Sio vizuri kudanganya watu humu.
 
awa si ndo wamepost na ile post ya idadi ya waliajiliwa mwaka jana wakidai ndo idadi ya mwaka huu sijui wanajiskiaje
 
Back
Top Bottom