Reasoning ya kitoto.. yani fikra zako zinakwambia kwamba watu wote wamesoma kwa bumu.
Hii ndiyo Tanzania halafu ukute huyo ni degree holder ni shida aisee.....
jamani mwezi huu hautapita ajira zitakuwa nje,ila kinachonichekesha heti ukaripoti na cheti cha kuzaliwa,wakati wanampatia mtu boom wailkuwa hawajui km ni mtz?