VPN USED2020OCTOBER28
JF-Expert Member
- Oct 27, 2011
- 1,505
- 674
Haha! Mkuu polee wenzio tunauza chips!! Nimeskia aprili!! Loh
Nipe direction tafwazali. Nataka niyaonje mapishi yako kabla sijafanya maamuzi magumu.
Tunakabiliwa na uhaba wa walimu, na serikali inakabiliwa na uhaba wa mahela. Chipsi na ziheshimiwe na watu wote.
ukweli serikali aina pesa.ata mishahara ya wale waliopo kazini ni tatizo.pia ieleweke kwamba ,serikali yetu aijui kujipanga kama nchi nyingine!(wengine upanga waajiri wangapi mara baada ya wahitimu kumaliza shule so upanga bajeti yao mapema miezi 4au 6 kabla awajatoka shule)hapa kwa kweli majanga! Uenda bajeti yenu ikapitishwa mwezi wa saba 2014/2015 budget na ikatekelezwa mwezi wa 9 au wa kumi 2014*huu ndo ukweli,labda utokeee muujiza
kwani mwalimu wewe umeshastaafu?
nipe direction tafwazali. Nataka niyaonje mapishi yako kabla sijafanya maamuzi magumu.
Tunakabiliwa na uhaba wa walimu, na serikali inakabiliwa na uhaba wa mahela. Chipsi na ziheshimiwe na watu wote.
Nipe direction tafwazali. Nataka niyaonje mapishi yako kabla sijafanya maamuzi magumu.
Tunakabiliwa na uhaba wa walimu, na serikali inakabiliwa na uhaba wa mahela. Chipsi na ziheshimiwe na watu wote.
Ukweli serikali aina pesa.ata mishahara ya wale waliopo kazini ni tatizo.pia ieleweke kwamba ,serikali yetu aijui kujipanga kama nchi nyingine!(wengine upanga waajiri wangapi mara baada ya wahitimu kumaliza shule so upanga bajeti yao mapema miezi 4au 6 kabla awajatoka shule)hapa kwa kweli majanga! Uenda bajeti yenu ikapitishwa mwEzi wa saba 2014/2015 budget na ikatekelezwa mwezi wa 9 au wa kumi 2014*huu ndo ukweli,labda utokeee muujiza
andaeni maandamano
andaeni maandamano
pole sana ndugu yangu kuwa na subira, ndo mambo ya serikali yetu