Post za walimu WALIO HITIMU vyuo VIKUU MWAKA 2013

Post za walimu WALIO HITIMU vyuo VIKUU MWAKA 2013

Kwa taarifa nilizonazo (hii hata mdogo wangu ashapangiwa kituo) pesa hakuna!
 
post si ndokama hii ulopost wewe au kuna nyingine maana hata wewe inaonesha umegraduate mwaka2013 kazana kupost..
 
Ukweli serikali Haina pesa.Hata mishahara ya wale waliopo kazini ni tatizo.pia ieleweke kwamba ,serikali yetu Haijui kujipanga kama nchi nyingine!(wengine Hupanga waajiri wangapi mara baada ya wahitimu kumaliza shule so Hupanga bajeti yao mapema miezi 4au 6 kabla Hawajatoka shule)hapa kwa kweli majanga! HUenda bajeti yenu ikapitishwa mwEzi wa saba 2014/2015 budget na ikatekelezwa mwezi wa 9 au wa kumi 2014*huu ndo ukweli,labda utokeee muujiza
taja hiyo nchi
 
hahaha! Loh mkuu we acha tu bora uwe mjasiria viazi kuliko kusubiri hizo ajira za siri kali!! Njo niungishe mkuu wangu nipo mtaa mmoja hapa unaitwa chama bagamoyo road afu tamu hizo!!

Usiniambie ni Chama ya hapa Boko. Manake ndo niko mitaa hii afu njaa inaniuma mbaya.
 
Usiniambie ni Chama ya hapa Boko. Manake ndo niko mitaa hii afu njaa inaniuma mbaya.

hahaha! There you are!! We ukiona hapo kuna viti vya blue na vyekundu hapo hapo bisha hodi! Na njaa yako itapona!!
 
Mkuu kajiunge na vijana wa Lumumba buku7 tatizo lako litaisha na utapata ajira, ila inabidi uende na grops ili kuzuia vidole kuvimba maana kama ya kushinda kwenye pc kutwa nzima si mchezo.
 
Ajira za walimu kwa uzoefu wangu ni huwa mwishoni mwa january-february mwa mwaka.nyuma ya 2010 ajira zilikuwa zinatoka mara tu baada ya matokeo ya mitihani ktk vyuo,yaani miezi ya 8 au 9.
Nashangaa mijadala inayoendelea kuhusu kuulizia kwamba ajira cjui zinachelewa,mara cjui zitatoka lini?hii ni kwamba wengi wetu hatuangalii mwenendo 'trend' ktk kufahamu muda ajira zinapotoka.
 
ajira za walimu kwa uzoefu wangu ni huwa mwishoni mwa january-february mwa mwaka.nyuma ya 2010 ajira zilikuwa zinatoka mara tu baada ya matokeo ya mitihani ktk vyuo,yaani miezi ya 8 au 9.
Nashangaa mijadala inayoendelea kuhusu kuulizia kwamba ajira cjui zinachelewa,mara cjui zitatoka lini?hii ni kwamba wengi wetu hatuangalii mwenendo 'trend' ktk kufahamu muda ajira zinapotoka.

hekima kwako mkuu mtz!
 
Ajira za walimu kwa uzoefu wangu ni huwa mwishoni mwa january-february mwa mwaka.nyuma ya 2010 ajira zilikuwa zinatoka mara tu baada ya matokeo ya mitihani ktk vyuo,yaani miezi ya 8 au 9.
Nashangaa mijadala inayoendelea kuhusu kuulizia kwamba ajira cjui zinachelewa,mara cjui zitatoka lini?hii ni kwamba wengi wetu hatuangalii mwenendo 'trend' ktk kufahamu muda ajira zinapotoka.

Nihatari msomi kuishi kwa mazoea , takwimu sahihi kwa muda sahihi ndo mwendo hayo mengine yakwako
 
Jf kuwe na darasa la kishwahili, mfano mtu anaandika (serikali aina pesa) akimaanisha serikali haina pesa, huenda naye ni mwalimu. Majanga
 
Jf kuwe na darasa la #kishwahili, mfano mtu anaandika (serikali aina pesa) akimaanisha serikali haina pesa, huenda naye ni mwalimu. Majanga

Mbona hata wewe hueleweki hapo kwenye neno 'kiswahili' ndo umeandikaje?
 
Back
Top Bottom