Post za walimu WALIO HITIMU vyuo VIKUU MWAKA 2013

Post za walimu WALIO HITIMU vyuo VIKUU MWAKA 2013

Hahahahahaaaaaaa vijana punguzeni njaa february paa post zinatoka mmetupwa bush mbayaaaaaaaaaaaa, subira inahitajika.. Mtoto akililia wembe mpeeeee..... Mtajuta kupata ajira.... Karibuni kene ualimu bana, huu utumishi si mchezooooooooo
 
Nikuulize swali mleta uzi,hivi uko idle inasubiri ajira siri kalini wakati kazi zipo kibao za kufanya, We endelea kujikwamua kiuchumi sio lazima siri kali ikupe ajira
 
Jf kuwe na darasa la kishwahili, mfano mtu anaandika (serikali aina pesa) akimaanisha serikali haina pesa, huenda naye ni mwalimu. Majanga

MR.SHOSOLOZA! Si UNAJUA TENA WATU WAMESHAZOEA KUANDIKA VUFUPI! Ni kawaida tu BUT ISIWE MAZOEA KABISA! Mfano mtu anakuandikia sms #UCKU MWEMA BADALA YA #USIKU MWEMA
 
hahahahahaaaaaaa vijana punguzeni njaa february paa post zinatoka mmetupwa bush mbayaaaaaaaaaaaa, subira inahitajika.. Mtoto akililia wembe mpeeeee..... Mtajuta kupata ajira.... Karibuni kene ualimu bana, huu utumishi si mchezooooooooo

my proffesional is teachig, and i like my professional lol
 
http://m.habarileo.co.tz/index.php/habari-za-kitaifa/20040-walimu-kumwagiwa-ajira-26-000-januari
SERIKALI imetangaza kutoa ajira mpya 26,000 za walimu kuanzia Januari mwakani, ikiwa ni mpango endelevu wa kupunguza uhaba wa walimu katika shule za msingi na sekondari nchini.
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), anayeshughulikia Elimu, Kassim Majaliwa, alisema hayo juzi mjini hapa wakati akifunga kikao cha kazi cha siku tatu cha maofisa elimu wa mikoa na halmashauri za wilaya nchini, wanaosimamia elimu ya msingi.
¡°Serikali inatambua uhaba wa walimu na kila mwaka inatoa ajira mpya za walimu. Januari 2014 Serikali itatoa ajira 26,000 za walimu wapya na maelekezo mengine yatafuata,¡° alisema Majaliwa.
Aliwataka maofisa elimu hao kuzingatia uwiano wa walimu wakati wa kuwapangia vituo vya kazi, badala ya kuendelea kuwalundika maeneo ya shule za mijini pekee.
Pia aliagiza walimu hao watayarishiwe mazingira mazuri hasa katika maeneo ya pembezoni kwa kuwapatia motisha, ili kuwajengea moyo wa kufanya kazi kwa bidii na maarifa zaidi katika vituo vyao vya kazi kwa lengo la kuwafanya wasikimbie vituo.
Licha ya kutangaza ajira hizo mpya, Majaliwa pia alisema Serikali imetenga Sh bilioni 18 za kutengeneza madawati yatakayosambazwa shuleni na zabuni yake inatarajiwa kutangazwa mapema iwezekanavyo.
Alisema mpango huo unatarajia kuanza mapema mwakani baada ya kumpata mzabuni, ¡°najua kutokana na kiwango kidogo cha fedha, hatutaweza kutosheleza, lakini huu ni mwanzo.¡±
Aliwataka maofisa hao kujenga tabia ya ufuatiliaji shuleni, ili kusimamia utunzaji wa vifaa na wakikuta uzembe ni wajibu wao kuchukua hatua ya kumaliza matatizo yaliyo chini ya uwezo wao
 
Jamani kifupi nimekaa home mpaka naona kichefuchefu, vp post zinatoka lini?


''Mateso yakizidi neema inakalibia'' mengi yatasemwa lakini amini nakwambia kabla ya mwezi huu kuisha post zitakuwa zimeshawekwa kwenye mtandao (Zimetangazwa).

Be patient please..!!!
 
My proffesional is teachig, and I like my professional lol
Samahani nime'edit baadhi ya sehemu ticha, ila naamini ulikusudia kuandika profession ambalo ndilo neno sahihi kwa muktadha wako.
 
Sipati picha kwa walimu wa science waliokaa muda mrefu bila kufundisha.
 
Kuwa mpole punguza munkari ivi unajua kuna watu wamesoma social ciencetangu 2011 mpk leo hawjui wafanye nini mtaa hauelewek sasa mwalim wamwaka jana tulia post zako zitatoka ver soon
 
KUHUSU AJIRA ITATOKA LINI
HII NI SIRI YA IDARA HUSIKA JAMANI, HAKUNA ANAYE JUA HAPA, ZOTE TUNAZO JADILI HAPA ,,,,HIZI NI FUNUNU TU,,kama ipo ipo tu,
 
Ulizeni wahitimu wa fani za:
Afya 2012 wakaajiriwa 2013 mwezi wa saba na wa nane.
Kilimo,mifugo na uvuvi 2012 m'baka leo hatujaajiriwa.
Afya,Kilimo,mifugo na uvuvi 2013 bado hawajaajiriwa.
 
Back
Top Bottom