Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha! Mkuu polee wenzio tunauza chips!! Nimeskia aprili!! Loh
Nihatari msomi kuishi kwa mazoea , takwimu sahihi kwa muda sahihi ndo mwendo hayo mengine yakwako
Jf kuwe na darasa la kishwahili, mfano mtu anaandika (serikali aina pesa) akimaanisha serikali haina pesa, huenda naye ni mwalimu. Majanga
post si ndokama hii ulopost wewe au kuna nyingine maana hata wewe inaonesha umegraduate mwaka2013 kazana kupost..
Mbona hata wewe hueleweki hapo kwenye neno 'kiswahili' ndo umeandikaje?
na dar hatuhitaji walimu,kun floods ya walimu huku
hahahahahaaaaaaa vijana punguzeni njaa february paa post zinatoka mmetupwa bush mbayaaaaaaaaaaaa, subira inahitajika.. Mtoto akililia wembe mpeeeee..... Mtajuta kupata ajira.... Karibuni kene ualimu bana, huu utumishi si mchezooooooooo
Na Dar hatuhitaji walimu,kun floods ya walimu huku
Nawe pia wasubiria???
Jamani kifupi nimekaa home mpaka naona kichefuchefu, vp post zinatoka lini?
Samahani nime'edit baadhi ya sehemu ticha, ila naamini ulikusudia kuandika profession ambalo ndilo neno sahihi kwa muktadha wako.My proffesional is teachig, and I like my professional lol