VPN USED2020OCTOBER28
JF-Expert Member
- Oct 27, 2011
- 1,505
- 674
- Thread starter
-
- #21
unasubiri ajira,vibanda vya kubet huvioni? Mikeka ndo habari ya mjini kwa sie majobless,uzoefu hatuna,gpa sio first class.mtaji huna utafanyaje sasa.
taja hiyo nchiUkweli serikali Haina pesa.Hata mishahara ya wale waliopo kazini ni tatizo.pia ieleweke kwamba ,serikali yetu Haijui kujipanga kama nchi nyingine!(wengine Hupanga waajiri wangapi mara baada ya wahitimu kumaliza shule so Hupanga bajeti yao mapema miezi 4au 6 kabla Hawajatoka shule)hapa kwa kweli majanga! HUenda bajeti yenu ikapitishwa mwEzi wa saba 2014/2015 budget na ikatekelezwa mwezi wa 9 au wa kumi 2014*huu ndo ukweli,labda utokeee muujiza
Kwani mwalimu wewe umeshastaafu?
hahaha! Loh mkuu we acha tu bora uwe mjasiria viazi kuliko kusubiri hizo ajira za siri kali!! Njo niungishe mkuu wangu nipo mtaa mmoja hapa unaitwa chama bagamoyo road afu tamu hizo!!
2naomba uwe mwenyekiti!!
Usiniambie ni Chama ya hapa Boko. Manake ndo niko mitaa hii afu njaa inaniuma mbaya.
hahaha! There you are!! We ukiona hapo kuna viti vya blue na vyekundu hapo hapo bisha hodi! Na njaa yako itapona!!
ajira za walimu kwa uzoefu wangu ni huwa mwishoni mwa january-february mwa mwaka.nyuma ya 2010 ajira zilikuwa zinatoka mara tu baada ya matokeo ya mitihani ktk vyuo,yaani miezi ya 8 au 9.
Nashangaa mijadala inayoendelea kuhusu kuulizia kwamba ajira cjui zinachelewa,mara cjui zitatoka lini?hii ni kwamba wengi wetu hatuangalii mwenendo 'trend' ktk kufahamu muda ajira zinapotoka.
kwa taarifa nilizonazo (hii hata mdogo wangu ashapangiwa kituo) pesa hakuna!
Pole mkuu nasikia mpaka mwezi wa saba mwaka huu!
Ajira za walimu kwa uzoefu wangu ni huwa mwishoni mwa january-february mwa mwaka.nyuma ya 2010 ajira zilikuwa zinatoka mara tu baada ya matokeo ya mitihani ktk vyuo,yaani miezi ya 8 au 9.
Nashangaa mijadala inayoendelea kuhusu kuulizia kwamba ajira cjui zinachelewa,mara cjui zitatoka lini?hii ni kwamba wengi wetu hatuangalii mwenendo 'trend' ktk kufahamu muda ajira zinapotoka.
wiki ijayo
Jf kuwe na darasa la #kishwahili, mfano mtu anaandika (serikali aina pesa) akimaanisha serikali haina pesa, huenda naye ni mwalimu. Majanga
wiki ijayo