rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
Aisee kuna mambo yatia kinyaaa sana na kuchekesha.. sasa huyu mzee hapa anasema eti watu hawawezi kutupangia thamani ya hela yetu??? Serious kabisa yani msomi mzima unakaa kuamini Exchange rate ni kitu ambacho nchi flani inaamka na kuamua kuwa Rate iwe hivi??? Badala ya kupigana uchumi ukue eti unataka kuforce Shilling ionekane ina thamani zaidi mfano ukiweka 1USd=1TSH hivi ukitaka kununua bidhaa nje ya nchi hii ndo rate utakayoitumia kweli??? Mtalii kaja anataka kubadilisha pesa hivi Aache kutumia International exchange rate uanze kumwambia hizi habari za Posta exchange rate si atakuona tapeli...??? Utalii ukipungua muanze kumtafuta mchawi akati Bureau center zimepigwa pini zotee... Kichwa cha mwenda wazimu kweli Hiki...[emoji24][emoji24][emoji24][emoji26][emoji26]
HATUWEZI KUTATUA MATATIZO YETU KWA KUJIDANGANYA HAYAPO...! Mwalimu Jk.Nyerere
Sent using Jamii Forums mobile app
HATUWEZI KUTATUA MATATIZO YETU KWA KUJIDANGANYA HAYAPO...! Mwalimu Jk.Nyerere
Sent using Jamii Forums mobile app