Posta Kubadilisha fedha za Kigeni

Posta Kubadilisha fedha za Kigeni

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
21,952
Reaction score
43,265
Aisee kuna mambo yatia kinyaaa sana na kuchekesha.. sasa huyu mzee hapa anasema eti watu hawawezi kutupangia thamani ya hela yetu??? Serious kabisa yani msomi mzima unakaa kuamini Exchange rate ni kitu ambacho nchi flani inaamka na kuamua kuwa Rate iwe hivi??? Badala ya kupigana uchumi ukue eti unataka kuforce Shilling ionekane ina thamani zaidi mfano ukiweka 1USd=1TSH hivi ukitaka kununua bidhaa nje ya nchi hii ndo rate utakayoitumia kweli??? Mtalii kaja anataka kubadilisha pesa hivi Aache kutumia International exchange rate uanze kumwambia hizi habari za Posta exchange rate si atakuona tapeli...??? Utalii ukipungua muanze kumtafuta mchawi akati Bureau center zimepigwa pini zotee... Kichwa cha mwenda wazimu kweli Hiki...[emoji24][emoji24][emoji24][emoji26][emoji26]

HATUWEZI KUTATUA MATATIZO YETU KWA KUJIDANGANYA HAYAPO...! Mwalimu Jk.Nyerere

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😃😃😃hii post inaichonganisha serikali na wananchi wake.inabidi wawaulize China wanafanyaje kubalance currency yao vs us $ mpaka wanamfanya Trump na US wanalialia sio kujifananisha na china kwenye mambo yasiyo na tija.
 
usijali tutarekebisha hilo soon japo mikakati ndo hatujajua tunatumia ipi, kidogo hapo ndo kwenye utata mkuu swala la rate linaonesha pia uchumi wa nchi unaendaje
 
[emoji2][emoji2][emoji2]hii post inaichonganisha serikali na wananchi wake.inabidi wawaulize China wanafanyaje kubalance currency yao vs us $ mpaka wanamfanya Trump na US wanalialia sio kujifananisha na china kwenye mambo yasiyo na tija.
Yani wamekurupuka balaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta uzi una kila dalili za kuitangaza nchi vibaya kwa mabeberu.Muwe mnasema yaliyo mazuri na mabaya tuwe tunayajadili ndani kwa ndani kama familia moja.Kwani haujui kwamba hata vikombe kabatini hugongana?Au hutumii kabati weye?Achana na mabeberu.
 
Yule Mzee nilimsikiliza, pamoja na mimi ni CCM, ila hoja zake hazikuwa na mashiko, yaani alitamka kisiasa zaidi
Aisee me pia nilishangaa sana kuongea vilee kirahisi rahisi tuu... Suala la kusafirisha mizigo tu litawashinda hilii... Kukurupuka kwingi sanaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta uzi una kila dalili za kuitangaza nchi vibaya kwa mabeberu.Muwe mnasema yaliyo mazuri na mabaya tuwe tunayajadili ndani kwa ndani kama familia moja.Kwani haujui kwamba hata vikombe kabatini hugongana?Au hutumii kabati weye?Achana na mabeberu.
Haa ha.. Mkuu Kama kutoa mawazo juu ya jambo fulani kutokuwa sawa ni Ubeberu bhasi acha tuitwe mabeberu...

Mimi kama mfia chama nawaangalia tu with one eye open and the other one closed,weye na shamimodd mnavyoeneza propaganda za kuichafua nchi.Huo si "uzarendo"! Na ndiyo maana Waziri wa Mambo ya nje na ushirikiano wa EA alisema mnyamaze kama maiti/watu tusiojitambua.Hata hivyo,ninyi mnaumwa nini dola kupelekwa kwa mrengo huo wakati hata kuzitumia hamjawahi?Acheni unoko.CCM hoyeeeee!Mtalimia " manjino" safari hii!Hapa kazi tu.Wakati hata ajira hakuna.
 
Aisee kuna mambo yatia kinyaaa sana na kuchekesha.. sasa huyu mzee hapa anasema eti watu hawawezi kutupangia thamani ya hela yetu??? Serious kabisa yani msomi mzima unakaa kuamini Exchange rate ni kitu ambacho nchi flani inaamka na kuamua kuwa Rate iwe hivi??? Badala ya kupigana uchumi ukue eti unataka kuforce Shilling ionekane ina thamani zaidi mfano ukiweka 1USd=1TSH hivi ukitaka kununua bidhaa nje ya nchi hii ndo rate utakayoitumia kweli??? Mtalii kaja anataka kubadilisha pesa hivi Aache kutumia International exchange rate uanze kumwambia hizi habari za Posta exchange rate si atakuona tapeli...??? Utalii ukipungua muanze kumtafuta mchawi akati Bureau center zimepigwa pini zotee... Kichwa cha mwenda wazimu kweli Hiki...[emoji24][emoji24][emoji24][emoji26][emoji26]

HATUWEZI KUTATUA MATATIZO YETU KWA KUJIDANGANYA HAYAPO...! Mwalimu Jk.Nyerere

Sent using Jamii Forums mobile app
Una source ya kuaminika kwamba mambo haya yamesema na wenye mamlaka?? Weka hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni picha na link ya Video mkuu...
Screenshot_20190308-092057_Video%20Player.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kidumu chamaaa....
Mimi kama mfia chama nawaangalia tu with one eye open and the other one closed,weye na shamimodd mnavyoeneza propaganda za kuichafua nchi.Huo si "uzarendo"! Na ndiyo maana Waziri wa Mambo ya nje na ushirikiano wa EA alisema mnyamaze kama maiti/watu tusiojitambua.Hata hivyo,ninyi mnaumwa nini dola kupelekwa kwa mrengo huo wakati hata kuzitumia hamjawahi?Acheni unoko.CCM hoyeeeee!Mtalimia " manjino" safari hii!Hapa kazi tu.Wakati hata ajira hakuna.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mabeberu ya mbuzi nini? Siku hizi nasikia mabeberu, mabeberu... hata akina mama wameitwa mabeberu kwa kuwa na mawazo tofauti.

Back
Top Bottom