2026 miaka karibu 70 ya uhuru. Je wakoloni wangekuwapo mpaka leo ingekuwa hivi?
View attachment 3580368
Juzi juzi hapa baada ya kuona imefika saa 1 usisku sijatoka job (Ubungo kuelekea home kwa Msuguri), kukwepa foleni ya Kimara nikasema nizuge zuge nitoke saa 4 hivi.
Nikatoka saa 4 zaidi ya nanusu.
Nilikuta jam moja kuanzia pale Korogwe. Mascania na MaFAW bumper to bumper hadi Kimara Mwisho.
Dar sijui wapi kuna afadhali ikishavuka saa 1.
Hela yangu kaka sikai kwenye foleni. Ni Bank tu uwa wananiweka foleni.Ww inabidi utafute parking pale Mbezi mwisho. Then ukwee Mwendo kasi.
Ukishuka mwendo kas . Unachukua boda to ofisin.
Nimeona hizi mpya zina AC .
Unakomaa tu hata kwa kusimama. Maana dk 20 umefika Ubungo frm Mbezi.
Kama hela za kuwakopesha content creators zimepotea sembuse hela ya muandishi wa insha?Hivi Wale walioandika wazo la namna bora ya kupunguza folen jijini Dsm majibu yameshatoka?.
Ila kusema kweli kwan vyanzo vya foleni havijulikani?Hivi Wale walioandika wazo la namna bora ya kupunguza folen jijini Dsm majibu yameshatoka?.
Ila kusema kweli kwan vyanzo vya foleni havijulikani?
Idea ya parking nzuri sana. Yaani ata wakisema parking elfu 5 as long usafiri ni reliable watu watatoa.Mwendo kasi ni bonge moja la project. Waiboreshe tu.
Nasikia wanaleta mwendokas itakayokuwa inapakia wanafunz pekee. Ina muda maalumu.
Waweke sehem za parking za magar , kwa kulipia maeneo ya pembezon mwa mji. Unashuka kwa gar yako unapanda mwendo kasi.
Watu wa Tegeta Bunju bagamoyo na mabwepande.
Unawatengeneza parking Kunduchi pale.
alaf unaanzisha fast ferries service ya kuchukua watu 300. inapita baharin moja kwa moja hadi Posta.
Parking lot waweke wapiMwendo kasi ni bonge moja la project. Waiboreshe tu.
Nasikia wanaleta mwendokas itakayokuwa inapakia wanafunz pekee. Ina muda maalumu.
Waweke sehem za parking za magar , kwa kulipia maeneo ya pembezon mwa mji. Unashuka kwa gar yako unapanda mwendo kasi.
Watu wa Tegeta Bunju bagamoyo na mabwepande.
Unawatengeneza parking Kunduchi pale.
alaf unaanzisha fast ferries service ya kuchukua watu 300. inapita baharin moja kwa moja hadi Posta.
Punguza ujuaji2026 miaka karibu 70 ya uhuru. Je wakoloni wangekuwapo mpaka leo ingekuwa hivi?
View attachment 3580368
📌Planet Data bundles was Here2026 miaka karibu 70 ya uhuru. Je wakoloni wangekuwapo mpaka leo ingekuwa hivi?
View attachment 3580368
Thread 'Kiongozi anasimama anasema foleni inasababishwa na magari machafu yasiyo na AC' Kiongozi anasimama anasema foleni inasababishwa na magari machafu yasiyo na ACHivi Wale walioandika wazo la namna bora ya kupunguza folen jijini Dsm majibu yameshatoka?.
Vituko kweliThread 'Kiongozi anasimama anasema foleni inasababishwa na magari machafu yasiyo na AC' Kiongozi anasimama anasema foleni inasababishwa na magari machafu yasiyo na AC
Mwendo kasi wa Tegeta utaisha 2030 labda. Pace ni ndogo sanaa mkandarasi wa familia kashindwa SGR huko wakampa uwanja wa mpira arusha hajashindanishwa na mtu. Mtu huyu huyu ajenge reli ajenge brt ajenge uwanja. Ukiona RC na Waziri wamegomba wakaita waandishi wa habari ujue wanamkumbusha hela aliyowapa imeisha. Kama nchi tuko pabay mnooMwendo kasi ni bonge moja la project. Waiboreshe tu.
Nasikia wanaleta mwendokas itakayokuwa inapakia wanafunz pekee. Ina muda maalumu.
Waweke sehem za parking za magar , kwa kulipia maeneo ya pembezon mwa mji. Unashuka kwa gar yako unapanda mwendo kasi.
Watu wa Tegeta Bunju bagamoyo na mabwepande.
Unawatengeneza parking Kunduchi pale.
alaf unaanzisha fast ferries service ya kuchukua watu 300. inapita baharin moja kwa moja hadi Posta.
Achana na hio njia. Pita Posta-IFM-Ozcean road-Aga khan-Ttanzanite bridge-Obay ibukia Msasani au St Peter's endekea na safari. Hii ni less than 20 minutes.2026 miaka karibu 70 ya uhuru. Je wakoloni wangekuwapo mpaka leo ingekuwa hivi?
View attachment 3580368