Posta - Salender (1.8km) ila unakaa masaa 2 kwenye foleni

Luton4554

Member
Joined
Apr 25, 2019
Posts
70
Reaction score
106
2026 miaka karibu 70 ya uhuru. Je wakoloni wangekuwapo mpaka leo ingekuwa hivi?

image.jpg
 
2026 miaka karibu 70 ya uhuru. Je wakoloni wangekuwapo mpaka leo ingekuwa hivi?

View attachment 3580368

Unakuta kuna mtu hapo anakaa Tegeta au Bunju.
Mafuta hata kama una IST kwa siku kwenda na kurud sio chini ya elfu 20.

Mshahara mill 1.5.
Una watoto 3 wako private.
Una ndugu wa kuwasaidia.
Hamjala, kuvaa na kulipa bill nyingne za familia.
😓😓😓😓😓

Rushwa haitaisha asee. Kila mtu atakula ofisin kwake.
 
Juzi juzi hapa baada ya kuona imefika saa 1 usisku sijatoka job (Ubungo kuelekea home kwa Msuguri), kukwepa foleni ya Kimara nikasema nizuge zuge nitoke saa 4 hivi.

Nikatoka saa 4 zaidi ya nanusu.

Nilikuta jam moja kuanzia pale Korogwe. Mascania na MaFAW bumper to bumper hadi Kimara Mwisho.

Dar sijui wapi kuna afadhali ikishavuka saa 1.
 
Ww inabidi utafute parking pale Mbezi mwisho. Then ukwee Mwendo kasi.
Ukishuka mwendo kas . Unachukua boda to ofisin.

Nimeona hizi mpya zina AC .
Unakomaa tu hata kwa kusimama. Maana dk 20 umefika Ubungo frm Mbezi.
 
Hivi Wale walioandika wazo la namna bora ya kupunguza folen jijini Dsm majibu yameshatoka?.
 
Ww inabidi utafute parking pale Mbezi mwisho. Then ukwee Mwendo kasi.
Ukishuka mwendo kas . Unachukua boda to ofisin.

Nimeona hizi mpya zina AC .
Unakomaa tu hata kwa kusimama. Maana dk 20 umefika Ubungo frm Mbezi.
Hela yangu kaka sikai kwenye foleni. Ni Bank tu uwa wananiweka foleni.
M/kasi Kimara Mwisho na kule mjini naonaga wanakaa foleni dah hapana, bora daladala
 
Wenzenu huku tunarezaaa tu mkeka mwanzo mwisho,no jam no mahandaki no bodaboda
Uendeshaji wa kistarabuu
Miundombinu ya kiuhakika

Ova
 
Attachments

  • IMG-20260426-WA0013.jpg
    IMG-20260426-WA0013.jpg
    200.1 KB · Views: 14
Ila kusema kweli kwan vyanzo vya foleni havijulikani?

Mwendo kasi ni bonge moja la project. Waiboreshe tu.

Nasikia wanaleta mwendokas itakayokuwa inapakia wanafunz pekee. Ina muda maalumu.

Waweke sehem za parking za magar , kwa kulipia maeneo ya pembezon mwa mji. Unashuka kwa gar yako unapanda mwendo kasi.

Watu wa Tegeta Bunju bagamoyo na mabwepande.
Unawatengeneza parking Kunduchi pale.
alaf unaanzisha fast ferries service ya kuchukua watu 300. inapita baharin moja kwa moja hadi Posta.
 
Idea ya parking nzuri sana. Yaani ata wakisema parking elfu 5 as long usafiri ni reliable watu watatoa.

Mwendokasi kuboreshwa ngumu kama hakuna mpinzani. Biashara za monopoly za kifala.
 
Mwendo kasi ni bonge moja la project. Waiboreshe tu.

Nasikia wanaleta mwendokas itakayokuwa inapakia wanafunz pekee. Ina muda maalumu.

Waweke sehem za parking za magar , kwa kulipia maeneo ya pembezon mwa mji. Unashuka kwa gar yako unapanda mwendo kasi.

Watu wa Tegeta Bunju bagamoyo na mabwepande.
Unawatengeneza parking Kunduchi pale.
alaf unaanzisha fast ferries service ya kuchukua watu 300. inapita baharin moja kwa moja hadi Posta.
Parking lot waweke wapi
Maana maeneo mengi ya wazi yamevamiwa 😄
Mji umejaaa maframee tu
Ujenzi holelaholela tu

Ova
 
Mwendo kasi ni bonge moja la project. Waiboreshe tu.

Nasikia wanaleta mwendokas itakayokuwa inapakia wanafunz pekee. Ina muda maalumu.

Waweke sehem za parking za magar , kwa kulipia maeneo ya pembezon mwa mji. Unashuka kwa gar yako unapanda mwendo kasi.

Watu wa Tegeta Bunju bagamoyo na mabwepande.
Unawatengeneza parking Kunduchi pale.
alaf unaanzisha fast ferries service ya kuchukua watu 300. inapita baharin moja kwa moja hadi Posta.
Mwendo kasi wa Tegeta utaisha 2030 labda. Pace ni ndogo sanaa mkandarasi wa familia kashindwa SGR huko wakampa uwanja wa mpira arusha hajashindanishwa na mtu. Mtu huyu huyu ajenge reli ajenge brt ajenge uwanja. Ukiona RC na Waziri wamegomba wakaita waandishi wa habari ujue wanamkumbusha hela aliyowapa imeisha. Kama nchi tuko pabay mnoo
 
Back
Top Bottom