Mpigamsuli
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 3,885
- 582
mh! Kweli kazi ipo hapa; postgraduate ni masomo yoyote mtu anayopata baada ya kupata degree ya kwanza, inaweza kuwa master, diploma, phd or even certificat. Master ni kiwango cha juu cha kusomea zidi ya degree ya kwanza na chini cha phd. Kiswahili inaitwa degree ya uzamili, na wala sio degree ya pili kama watu wanavyopenda kukosea.
Postgraduate diploma ni elimu ya kiwango cha diploma anayopata mtu ambaye ana degree ya kwanza tayari. Advanced diploma ni kiwango cha elimu juu ya diploma ambayo inakaribia degree (equivalent to degree). Bila shaka utakuwa umepata hapo kitu kidogo mkuu mleta mada.
hamna jipya mkuu