postgraduate vs masters


hamna jipya mkuu
 


Mkuu mimi nina Advanced Diploma ya GPA 4.4 from IFM ninaweza kusoma master bila kupitia Postgraduate
 
Postgraduate = Kozi yoyote unayosoma baada ya kuwa Graduate/kutunukiwa Shahada ya Kwanza (ikiwa ni pamoja na Shahada ya Uzamili).

Postgraduate Diploma = Diploma inayosomwa na yeyote aliye na Shahada tayari

good!!!!mkuu umejibu vzr sn,watu wengi wanadhani post graduate ni lazima iwe post graduate diploma!!

Kumbe post graduate studies maana yake ni masomo baada ya kuhitimu shahada ya kwanza,

so post graduate studies yaweza kua post graduate diploma(stashahada ya uzamili),masters(shahada ya uzamili) au PhD (shahada ya uzamivu),hizi zote ni post graduate studies!!

So ni vema tukawa spesific na kusema post graduate diploma,na sio kusema post graduate tu ilhal tukimaanisha post graduate diploma,...hata masters na PhD nazo ni post graduate!!!
 
Kwanza mnatakiw mjue maana ya neno GRADUATE! graduate ni yeyote yule mwenye degree ya kwanza! Baada ya hapo kuna postgraduate. Hata PHD Ina postdoctoral ambayo ni masomo baada ya kuwa na PHD.
 
Postgraduate; hapo kuna maneno mawili..post na graduate, Post as a prefix means after, n graduate is first degree award.

postgraduate relating to or denoting a course of study undertaken after completing a first degree, source Concise Oxford English Dictionary eleventh edition. i.e master n phd
 
Kumbe tuko mamburula weng hum ndan?? Subir mm nikimalza masters yangu ndo nitakuja kuwaambia....

Nasoma MBA Finance juuuuuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…