postgraduate vs masters

postgraduate vs masters

GENERARY

Member
Joined
Aug 31, 2012
Posts
95
Reaction score
17
hivi kuna utofauti gani wa postgraduate, advanced diploma na masters?
 
ipo tofauti post graduate ni stashahada ya uzamili hii husomwa kama huna vigezo vya kusoma MASTERS ,, advanced diploma ni stashahada ya juu husomwa kama huna g.p.a ya kwenda degree, MASTERS ni degree ya pili
 
Mkuu.Asante kwa ufafanuzi. Hata hivyo kuna mambo yamechanganywa.
 
ipo tofauti post graduate ni stashahada ya uzamili hii husomwa kama huna vigezo vya kusoma MASTERS ,, advanced diploma ni stashahada ya juu husomwa kama huna g.p.a ya kwenda degree, MASTERS ni degree ya pili

naomba kuuliza mkuu MASTERS huchukua muda gani kuisoma?
 
ipo tofauti post graduate ni stashahada ya uzamili hii husomwa kama huna vigezo vya kusoma MASTERS ,, advanced diploma ni stashahada ya juu husomwa kama huna g.p.a ya kwenda degree, MASTERS ni degree ya pili
Advanced diploma hapa imekosewa,kwa vyuo vinavyotumia system za National Technical Award (NACTE),mwaka wa kwanza n wa pili wa barchelor huitwa NTA 7A na NTA 7B ambayo ndiyo Advanced diploma,NTA 8 hiyo ndio mwisho wa Barchelor degree course
System ya NACTE ipo hivi NTA 1,2 na 3 hiyo ndiyo level ya VETA,Ordinary diploma ina three exit level NTA 4 (Basic Technician Certificate),NTA 5 (Technician Certificate),NTA 6 (Ordinary Diploma)
Upande wa Barchelor una exit levels 2,ambazo ni NTA 7A na 7B (Advanced Diploma) n NTA 8 ambayo ni Barchelor
Baada ya hapo kuna masters ambayo ina exit level moja ambayo ni NTA 9A na 9B
Mwisho wa system hii ni PhD ambayo ni NTA 10
 
Kujifanya unajua matokeo yake unapotosha postgraduate imegawanyika sehemu mbili kuna moja kama mtu alikuwa na g.p.a ndogo na anampango wa kusoma masterz inabidi apitie na nyingine postgraduate ni ile mtu anataka kuchange fani aliyosomea mwanzo kwenye degree ya kwanza mfano ulisoma it ukaona soko la ajira gumu basi unasoma postgraduate ya education then unakuwa teacher wa it vyuon ama mtu alisoma pspa bt anawashi sana kuwa hour basi anasoma postgraduate anakuwa tayari na sifa za kuwa hr
 
In addition m2 aliyekosa qualification za kujiunga na NTA 4 atasoma Access course ambayo ni course ya miezi mi3 ambapo mwishoni watafanya mtihani na watakaopata alama zilizopangwa na chuo hupata nafac za kuingia NTA 4 (Diploma mwaka wa kwanza)
Waliokosa GPA za kutosha kujiunga na Barchelor hufanya mtihani wa mature age entry ambapo ukifaulu utaruhusiwa kujiunga degree na chuo husika
Waliokosa GPA za kutosha kufanya masters wanatakiwa kusoma Post graduate course ya mwaka mmoja ili kupata equivalent qualification ya kufanya Masters
Hop imeeleweka #naruhusu mabadiliko km nimekosea sehem
 
...advanced diploma ni stashahada ya juu husomwa kama huna g.p.a ya kwenda degree, ...
GPA ya kwenda degree inapatikana katika level gani ya elimu na inaanzia kiwango gani? Hivi A-Level kuna mambo ya GPA?
 
Kujifanya unajua matokeo yake unapotosha postgraduate imegawanyika sehemu mbili kuna moja kama mtu alikuwa na g.p.a ndogo na anampango wa kusoma masterz inabidi apitie na nyingine postgraduate ni ile mtu anataka kuchange fani aliyosomea mwanzo kwenye degree ya kwanza mfano ulisoma it ukaona soko la ajira gumu basi unasoma postgraduate ya education then unakuwa teacher wa it vyuon ama mtu alisoma pspa bt anawashi sana kuwa hour basi anasoma postgraduate anakuwa tayari na sifa za kuwa hr

Postgraduate = Kozi yoyote unayosoma baada ya kuwa Graduate/kutunukiwa Shahada ya Kwanza (ikiwa ni pamoja na Shahada ya Uzamili).

Postgraduate Diploma = Diploma inayosomwa na yeyote aliye na Shahada tayari
 
Inamaana hata kama nimemaliza shahada ya kwanza nikasoma kozi ya japanese tayari ni postgraduate? Usipotoshe
 
Hapa kuna vitu viwili tofauti...Postgraduate Studies na Postgraduate Diploma. Hii ya pili ni ile mtu anasoma ili akidhi vigezo vya kusoma masters degree au pale ambapo degree yake ya kwanza ni tofauti. Mfano LL.b atake kwenda Educatiin basi atafanya PDGE(postgraduate diploma in education)
 
Advanced diploma hapa imekosewa,kwa vyuo vinavyotumia system za National Technical Award (NACTE),mwaka wa kwanza n wa pili wa barchelor huitwa NTA 7A na NTA 7B ambayo ndiyo Advanced diploma,NTA 8 hiyo ndio mwisho wa Barchelor degree course
System ya NACTE ipo hivi NTA 1,2 na 3 hiyo ndiyo level ya VETA,Ordinary diploma ina three exit level NTA 4 (Basic Technician Certificate),NTA 5 (Technician Certificate),NTA 6 (Ordinary Diploma)
Upande wa Barchelor una exit levels 2,ambazo ni NTA 7A na 7B (Advanced Diploma) n NTA 8 ambayo ni Barchelor
Baada ya hapo kuna masters ambayo ina exit level moja ambayo ni NTA 9A na 9B
Mwisho wa system hii ni PhD ambayo ni NTA 10

HAPANA MIMI NILIKUWA NAZUNGUMZIA KWA UJUMLA MFANO MTU KASOMA Diploma ya sheria kapata g.p.a ya 2.0 itabidi asome advanced diploma, mjinga wewe huna akili
 
kujifanya unajua matokeo yake unapotosha postgraduate imegawanyika sehemu mbili kuna moja kama mtu alikuwa na g.p.a ndogo na anampango wa kusoma masterz inabidi apitie na nyingine postgraduate ni ile mtu anataka kuchange fani aliyosomea mwanzo kwenye degree ya kwanza mfano ulisoma it ukaona soko la ajira gumu basi unasoma postgraduate ya education then unakuwa teacher wa it vyuon ama mtu alisoma pspa bt anawashi sana kuwa hour basi anasoma postgraduate anakuwa tayari na sifa za kuwa hr

sasa umeandika nini sasa? ,mpuuzi wewe hujaongeza jipya lolote
 
Back
Top Bottom