postgraduate vs masters

postgraduate vs masters

Sijakutukana kaka,naamini hilo halikuwa langu
Lengo sio nani anajua sana ila ni kueleweshana sisi kwa sisi pamoja na mleta uzi hapa
Mtu aliemaliza Diploma na kushindwa kupata GPA ya kutosha kufanya degree basi hutakiwa kufanya Mature age entry examination
Wewe ni mjinga ,na huna akili ulichoandika hakikuwa na upya wowote
 
Duh kazi ipo badala ya kutoa majibu mnaanza kutukanana bila sababu, kwani kuna mwalimu hapo wa kusahihisha hizo post zenu?
 
ipo tofauti post graduate ni stashahada ya uzamili hii husomwa kama huna vigezo vya kusoma MASTERS ,, advanced diploma ni stashahada ya juu husomwa kama huna g.p.a ya kwenda degree, MASTERS ni degree ya pili

Kuna watu wametoka form VI na kusoma A-diploma,wanazingatia vigezo gani?
 
ipo tofauti post graduate ni stashahada ya uzamili hii husomwa kama huna vigezo vya kusoma MASTERS ,, advanced diploma ni stashahada ya juu husomwa kama huna g.p.a ya kwenda degree, MASTERS ni degree ya pili

kwa hiyo postgraduate sio degree?
 
Kazi kweli kweli. Kuna species hapa zisipobisha zinahisi deficiency. Hii character ni hatari sana hasa inapochanganywa na matusi hovyo hovyo. Usomi ni usafi wa kinywa jamani. Grow up!

Nasisitiza. Postgraduate = Mafunzo baada ya Bachelor. Hatuzungumzii mafunzo yaliyo kwenye mfumo usiorasmi kama ushonaji na lugha. Tunazungumzua Diploma, Shahada ya Uzamili, Uzamifu nk.

Postgraduate Diploma = Diploma baada ya Bachelor. Huwezi kuipata bila kuwa na Bachelor kama walivyoeleza wengine humu. Relevancy yake ni hasa kwa wanaotaka kusoma Master isiyohusiana na walichokisoma Undergraduate. Ni kama kutafuta qualification alingane na aliyesoma fani husika. Na si kwa aliyekosa sifa ya kuwa admitted undergraduate.

Sasa tusiconfuse watu kwa kudhani kwa kuwa baadhi ya vyuo vilivyokuwa vikitoa Advanced Diploma (zamani) vinawaadmit wahitimu hao kusoma PGD basi maana yake PGD ni kwa walioshindwa kupata Degree. Hasha!

PGD kwa wenye AD/Equivalence ya Bachelor ni kuwafanya walingane na Graduate ili wafanye Master wakitaka. Lengo ni lile lile tulilolielezea hapo juu. Nadhani jamaa wa Ushirika umeipata hiyo.

Lakini pia tafsiri ya Master si Shahada ya Pili. Master ni Shahada ya Uzamili. Shahada ya Pili ni second degree.
 
Kazi kweli kweli. Kuna species hapa zisipobisha zinahisi deficiency. Hii character ni hatari sana hasa inapochanganywa na matusi hovyo hovyo. Usomi ni usafi wa kinywa jamani. Grow up!

Nasisitiza. Postgraduate = Mafunzo baada ya Bachelor. Hatuzungumzii mafunzo yaliyo kwenye mfumo usiorasmi kama ushonaji na lugha. Tunazungumzua Diploma, Shahada ya Uzamili, Uzamifu nk.

Postgraduate Diploma = Diploma baada ya Bachelor. Huwezi kuipata bila kuwa na Bachelor kama walivyoeleza wengine humu. Relevancy yake ni hasa kwa wanaotaka kusoma Master isiyohusiana na walichokisoma Undergraduate. Ni kama kutafuta qualification alingane na aliyesoma fani husika. Na si kwa aliyekosa sifa ya kuwa admitted undergraduate.

Sasa tusiconfuse watu kwa kudhani kwa kuwa baadhi ya vyuo vilivyokuwa vikitoa Advanced Diploma (zamani) vinawaadmit wahitimu hao kusoma PGD basi maana yake PGD ni kwa walioshindwa kupata Degree. Hasha!

UMEJITAHIDI KIdogo kufafanua
 
Mkuu nimependa ufafanuzi wako sio kuwakaririsha vijana vitu ambavyo si sahihi
Postgraduate = Kozi yoyote unayosoma baada ya kuwa Graduate/kutunukiwa Shahada ya Kwanza (ikiwa ni pamoja na Shahada ya Uzamili).

Postgraduate Diploma = Diploma inayosomwa na yeyote aliye na Shahada tayari
 
Sikia dogo wewe!

Shahada ya awali = Bachelor degree
shahada ya uzamili =master's Degree
shahada ya uzamivu=PhD e.i Doctor of Philosophy.

Bila Shaka umeelewa naongea nini Punda wa sembe wewe.

LIANGAKIE HUSOMI HATA COMMENTS ZANGU NIMESHAYAELEZEA WEWE Umekopy
 
Mh! kweli kazi ipo hapa; postgraduate ni masomo yoyote mtu anayopata baada ya kupata degree ya kwanza, inaweza kuwa master, diploma, phd or even certificat. Master ni kiwango cha juu cha kusomea zidi ya degree ya kwanza na chini cha phd. Kiswahili inaitwa degree ya uzamili, na wala sio degree ya pili kama watu wanavyopenda kukosea.
Postgraduate diploma ni elimu ya kiwango cha diploma anayopata mtu ambaye ana degree ya kwanza tayari. Advanced diploma ni kiwango cha elimu juu ya diploma ambayo inakaribia degree (equivalent to degree). Bila shaka utakuwa umepata hapo kitu kidogo mkuu mleta mada.
 
Back
Top Bottom