binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Ndio maana muhuni we mzee! π π πMeta humetameta kwa juhudi na maarifa
Pale nilikuwa nachunga tu ng'ombe wa shuleNdio maana muhuni we mzee! π π π
cocastic usiombe usome seminari alafu walimu wanaokufundisha ndiyo wale waliotoka familia za kimasikini ni unafiki na ukuda kwenda mbele .post: 44543086, member: 576640"][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
Kuna seminary ya mixtures? Mbna sijawahi kujua hili.cocastic usiombe usome seminari alafu walimu wanaokufundisha ndiyo wale waliotoka familia za kimasikini ni unafiki na ukuda kwenda mbele .
Hapo bado hawajaanza kujipendekeza kwa wazazi wako , mara ooh maendeleo yako wamepewa jukumu na wazazi wako ni purukushani
Mwisho ni mwendo wa kutajiwa pair tu mara uko na kidenti cha form one mara cha form two hapo mwamba huko form six
Wewe acha motto wao wabaki nao uwachome.[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Zipo za kihunihuni za dar es salaamKuna seminary ya mixtures? Mbna sijawahi kujua hili.
Kheeeeeh bas hatareeee.
Malangali-IringaShule gan π€
Jangwani mdogo wangu..binti wa mama mabulaπDada sio Jangwani girls?
Sio Kantalamba hii?Bila kusahau wimbo wenu wa .... my beloved school our motto, our motto is to aim high and high ....
Tosamaganga hii."Elimu ni hazina"
Umepita hapo lini?
Tosamaganga hiyo alooo nilikuwepo pale 2000 - 2006Tosamaganga hii.
O level na Advance umepiga pale?Nilipiga O level.Tosamaganga hiyo alooo nilikuwepo pale 2000 - 2006