Postpaid internet connection kwa Vodacom, Tigo, Airtel, Halotel

Postpaid internet connection kwa Vodacom, Tigo, Airtel, Halotel

maduhuli

New Member
Joined
Nov 21, 2023
Posts
1
Reaction score
1
Wakuu Salaam,

Naomba msaada kujua mtandao gani kati ya Vodacom, Tigo, Airtel, na Halotel wana gharama nafuu ya POSTPAID INTERNET CONNECTION na wenye kasi nzuri.

Asante.
 
Wakuu Salaam,

Naomba msaada kujua mtandao gani kati ya Vodacom, Tigo, Airtel, na Halotel wana gharama nafuu ya POSTPAID INTERNET CONNECTION na wenye kasi nzuri.

Asante.
Katika matumizi yangu ya kawaida Vodacom wapo vizuri kuliko wote ila tatizo vifurushi vyao vimechangamka sana.
 
hiyo 50k Halotel kwa 15mbps ni kwa router fiber au kwenye lain za sim .? na tunapataje
Hii nenda kwa mawakala wa halotel waambie unahitaji coparate line, hii ndio inakifurushi hicho, unaweza kutumia kwenye simu au kwenye router.
1000001483.png
 
Tafuta airtel sme utakuja nishukuru
Wakuu Salaam,

Naomba msaada kujua mtandao gani kati ya Vodacom, Tigo, Airtel, na Halotel wana gharama nafuu ya POSTPAID INTERNET CONNECTION na wenye kasi nzuri.

Asante.
 
Hii inakuwaje? Packages & bei.
Hii unapiga *149*91# then unapata hivyo vifurushi. Kama unahitaji, nicheki ni-activate line yako BURE. Then uendelee kufurahia bando hizo.
 
Attachments

  • IMG-20250130-WA0001.jpg
    IMG-20250130-WA0001.jpg
    51.4 KB · Views: 3
  • Screenshot_20250111-164123_Phone.jpg
    Screenshot_20250111-164123_Phone.jpg
    139.7 KB · Views: 2
  • Airtel SME.mp4
    1.3 MB
Back
Top Bottom