Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika matumizi yangu ya kawaida Vodacom wapo vizuri kuliko wote ila tatizo vifurushi vyao vimechangamka sana.Wakuu Salaam,
Naomba msaada kujua mtandao gani kati ya Vodacom, Tigo, Airtel, na Halotel wana gharama nafuu ya POSTPAID INTERNET CONNECTION na wenye kasi nzuri.
Asante.
Halotel zipo special za internet zimeboreshwa speedKatika matumizi yangu ya kawaida Vodacom wapo vizuri kuliko wote ila tatizo vifurushi vyao vimechangamka sana.
Halotel ndo ikoje hizo package zaoHalotel zipo special za internet zimeboreshwa speed
Halotel ndo ikoje hizo package
Ipo sh 50,000 speed 15mbps.Hawa halotel hawana unlimited kama vida na airtel ?
Ipo unlimited Halotel kaka. Na watu tunatumiaVoda wana Unlimited ya Mwezi/Mwaka.
Halotel Unlimited hakuna ila vipo vya Mwezi vifurushi vya kawaida,Miezi 6 na Mpaka Mwaka
hiyo 50k Halotel kwa 15mbps ni kwa router fiber au kwenye lain za sim .? na tunapatajeIpo sh 50,000 speed 15mbps.
Hii nenda kwa mawakala wa halotel waambie unahitaji coparate line, hii ndio inakifurushi hicho, unaweza kutumia kwenye simu au kwenye router.hiyo 50k Halotel kwa 15mbps ni kwa router fiber au kwenye lain za sim .? na tunapataje
sawa asante 🤝Hii nenda kwa mawakala wa halotel waambie unahitaji comparate line, hii ndio inakifurushi hicho, unaweza kutumia kwenye simu au kwenye router.View attachment 3065012
Bei gani na unaipataje mkuuIpo unlimited Halotel kaka. Na watu tunatumia
Line inaitwa corporateHii nenda kwa mawakala wa halotel waambie unahitaji coparate line, hii ndio inakifurushi hicho, unaweza kutumia kwenye simu au kwenye router.View attachment 3065012
Zile M2M??Halotel zipo special za internet zimeboreshwa speed
Mkuu mbona mawakala ukiwauliza wanasema hawaijui hio laini?, labdah ina sifa zipi za ziada ili wakala aweze kuelewaHii nenda kwa mawakala wa halotel waambie unahitaji coparate line, hii ndio inakifurushi hicho, unaweza kutumia kwenye simu au kwenye router.View attachment 3065012
Mkuu mbona mawakala ukiwauliza wanasema hawaijui hio laini?, labdah ina sifa zipi za ziada ili wakala aweze kuelewa
Wakuu Salaam,
Naomba msaada kujua mtandao gani kati ya Vodacom, Tigo, Airtel, na Halotel wana gharama nafuu ya POSTPAID INTERNET CONNECTION na wenye kasi nzuri.
Asante.
Tafuta airtel sme utakuja nishukuru
Hii unapiga *149*91# then unapata hivyo vifurushi. Kama unahitaji, nicheki ni-activate line yako BURE. Then uendelee kufurahia bando hizo.Hii inakuwaje? Packages & bei.