Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Kesho ndo leo mkuuKesho sijui nijifiche wapi hizo dakika 90.
Presha nnayokua nayo haielezeki sijui wenzetu wanawezaje kwenda na uwanjani
Huu ndio ume wahi, zile nyingine wame zifuta🤣😂Uzi wa tatu huu naona, sawa twende na upi tuache upi? 😂😂