joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Nikimbi ili iweje, wewe ndio uliye kimbia na kugomea mechi zote za ligi.Nyie si mnakocha wenu wa akiba.Tubaki kwenye hoja ya kuazimana makocha maana naona unataka kuikimbia kwa kumung'unya maneno na kuongea lugha za kimazingaombwe. Tutajie hao makocha ambao Coastal na Simba wameazimana.