POSTPONED (PP): Yanga SC VS Simba SC | Ligi Kuu NBC | Benjamin Mkapa Stadium | 08.03.2025

Utasikia mengi tu,sie tushamaliza leo tumechukua tatu muhimu tunasonga mbele. Endeleni na mgomo, Yanga itaendelea kucheza na kushinda mechi zake.
Uthibitisho wa picha mjongeo upo kuwa mmevunja kanuni. Mpo tayari kuadabishwa?
 
Hamkuoneka uwanjani, si tunachojua mechi ya leo tumemaliza,nayo.
Mechi haihesabiki kuwa imechezwa mpaka mwamuzi apige filimbi ya kuanzisha mchezo na kumaliza mchezo. Hilo leo halijafanyika na kwa mantiki hiyo mchezo hauhesabiki kama umefanyika hata mkashtaki mbinguni. Mwanasheria wenu anazidi kuwapoteza maskini.
 
Yanga ishamaliza tunawasubiria Wagosi, wahi ticket yako kama unataka kupata burudani maana kwenu mnamigomo ya kucheza mechi zote zilizobaki.
 
Wagosi ni tawi la GSM. Mnaenda kujipigia zenu goli 6 saaafi ila mechi za ushindani aaah
 
Vipi ikiwa sawa hili nalo umejiuliza? Mbona hautoi mfano baada ya kauli ya Magoli kusema hawato cheza mechi yoyote ya ligi......?
Wanaobeti kwani huwa wanakosa tu? Wanapata pia.

Mashabiki wajanja huwa hawajiaminishi linapokuja suala la maamuzi maana uongozi unaweza kuja na maamuzi tofauti.

Kuna namna ya kupresent hoja si kwa mfumo wa kimaamuzi bali kwa mfumo wa pendekezo, matamanio n.k
 
Kocha yupi huyo wa Simba aliazimwa na Coastal? Unaanza kurudisha mada ambazo nilishakugharagaza nazo hadi ukakimbia.
Kocha wenu wa Akiba au unamsahau huwaga mwanzoni haonekani baadae unashangaa anakuja kuchukua nafasi. Njoo uwane Wagosi upate burudani nyie mshaaliza mechi zenu.
 
Wanaobeti kwani huwa wanakosa tu? Wanapata pia.

Mashabiki wajanja huwa hawajiaminishi linapokuja suala la maamuzi maana uongozi unaweza kuja na maamuzi tofauti.

Kuna namna ya kupresent hoja si kwa mfumo wa kimaamuzi bali kwa mfumo wa pendekezo, matamanio n.k
Kwa hiyo hapo unabet tena maswala ya kimamamuzi? Sio mechi hii mpaka ubeti.

Umetoa hoja inayo egamia upande umoja ndio maana ni kakuuliza "Vipi ikiwa sawa hili nalo umejiuliza? ",au betting yako matokeo yake ni sawa na unachokiwaza wewe?
 
Mkuu, naona hatuelewani.
 
Mkuu, naona hatuelewani.
Sababu unajibu lako cha msingi ukubali kutokuelewana ndio msingi demokrasia. Njoo week ijayo uwacheki Wagosi ,ila hizi stori ya Kolo FC tumemaliza.
 
Hatuelewani sababu Unahama nje ya hoja niliyoileta kwako, hata hivyo si shida, tuachane nayo.
 
Kocha wenu wa Akiba au unamsahau huwaga mwanzoni haonekani baadae unashangaa anakuja kuchukua nafasi. Njoo uwane Wagosi upate burudani nyie mshaaliza mechi zenu.
Unamung'unyamung'unya maneno kwa sababu unajua hauna hoja kwenye hilo.
 
Kwa majeruhi aliyokua nayo kolo hakyanani jana asingechomoka bila kupigwa 5..

Kapata upenyo na kautumia huohuo kuchomoka dadeki.
 
Unamung'unyamung'unya maneno kwa sababu unajua hauna hoja kwenye hilo.
Sasa wewe umegoma mimi na endelea kucheza ,uhoni tuna hoja mbili tofauti. Hata mimi nawaona hamna hoja,mliamua kudeka. Endeleni kugoma kama mlivyo sema kwa mechi zote zilizobakia.
 
Tubaki kwenye hoja ya kuazimana makocha maana naona unataka kuikimbia kwa kumung'unya maneno na kuongea lugha za kimazingaombwe. Tutajie hao makocha ambao Coastal na Simba wameazimana.
 
Back
Top Bottom