Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Pa kuanzia na kumalizia wapi boss?Tushamaliza sisi tulitaka tu kudocument hiki cha leo so pakuanzia na kumalizia tunapo.
Tatizo la kuwa shabiki huwa haijulikani viongozi watafanya nini na kwanini, inakuwa kama kubeti.
Sasa mfano hii statement yako, ikienda tofauti na Yanga ikacheza mechi badala ya kudai point 3?