POSTPONED (PP): Yanga SC VS Simba SC | Ligi Kuu NBC | Benjamin Mkapa Stadium | 08.03.2025

POSTPONED (PP): Yanga SC VS Simba SC | Ligi Kuu NBC | Benjamin Mkapa Stadium | 08.03.2025

Mliopo taifa vipi watu wameshaanza kuingia uwanjani su ndio mechi haipo
 
Kipigwe
 

Attachments

  • Screenshot_20250308-111733.png
    Screenshot_20250308-111733.png
    684.9 KB · Views: 2
Kama simba hawatapeleka timu uwanjani si washushe dalaja, ili iwe fundisho kwa wengine na heshima kwa ligi yetu.?
 
Rudia kusoma maandiko yako ujione ulivyo mjinga
Timu yenyewe haina hata uwanja, inataka kitu cha watu kiwe kama chake, si ajenge kama ni rahisi awe anapigia mazoezi, yake adhubutu, kufanya ujinga wake ataona??
 
mechi imekua na tabia za kidemu (last born)

sitaki na taka
 
Mpira ushachezwa huu ng'aeni macho tu hapa 😅😅😅😅
Kuna madunduka yamekufa magoli, zaidi ya mawili.
Mganga wao, anajaribu kuileta mvua imemgomea. Kuna watu watapoteana hapa. Nikitoka kwa Mkapa nitarudi. 🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰
Huwa huniangushi, sasa nakupa siri za simu za bwana shemeji maana inaelekea kupona leo 😅 😅
Kaza moyo maana kuna nyumba tisa amejenga sijui unajuaa siri ya kwanza hiyo 😂😂😂
 
Back
Top Bottom