Posts wizara ya afya.

Posts wizara ya afya.

Dogo nenda ualimu acha kusubiri hiyo bahati nasibu ya afya shauri yako.

mkuu usijibu usichoulizwa 07 hakutaka umshauri kwani yeye alipo apply hakuona hivo vyuo vya ualimu asee jibu ulichoulizwa na usipende kukata wenzako tamaa kwani hiyo ndio ambition yake we kama unapenda ualimu ni wewe tu Bulshit . Omba radhi.......
 
kaka asante kwa kumwambia ukweli molembe badala ya kujibu alichokiona ananishauri kitu ambacho sijaomba
 
Kaka spleen kamaulivyosema tunasubiri sahihi ya katibu mkuu akirudi toka tokyo bado hajarudi ili aweze kuyaachia kaka
 
kwenye 17 hivi mwez huu!
Ila sina uhakika maana hii ni kama prdction wakuu
 
jamani hebu muuweke vizuri mi simu inAshindwa kufungua android
 
Naomba nifafanue thread yangu. Ilikuwa walioko mwaka wa pili na watatu waanze mitihani yao tar 19 mwez huu lakin wamesogezewa mpaka tar 9-23 sept wametuma walaka kila chuo ambapo selection zitafanyika tar 16-28 sept na watatangazwa watakaochaguliwa tar 5-11 octoba. Hiyo ni hakika. Ukitaka maelezo zaidi ni pm nikupe namba yangu ili tuwasiliane by oral.
 
nimekupata xna br.weka no.yako ya
cm kk fo comunicate &u!
 
Naomba nifafanue thread yangu. Ilikuwa walioko mwaka wa pili na watatu waanze mitihani yao tar 19 mwez huu lakin wamesogezewa mpaka tar 9-23 sept wametuma walaka kila chuo ambapo selection zitafanyika tar 16-28 sept na watatangazwa watakaochaguliwa tar 5-11 octoba. Hiyo ni hakika. Ukitaka maelezo zaidi ni pm nikupe namba yangu ili tuwasiliane by oral.
nimekupata xna
 
mambo yako mbioni kutoka tuone kama tumesanda au tumepita kwenye ushindani..kama vp tuchek inshu nyingine mapema but sio pa kutegemea sana
 
Back
Top Bottom