Yusuph p. Kisunzu
Senior Member
- Dec 21, 2012
- 120
- 9
MABADILIKO MAPYA NI WATAKAOFANIKIWA KUANZIA TAR 5-11 OCTOBER. #walaka_kila_chuo_cha_afya .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa maana hiyo matokeo yatawahi kaka au yatachelewa?
Dogo nenda ualimu acha kusubiri hiyo bahati nasibu ya afya shauri yako.
kwenye 17 hivi mwez huu!
Ila sina uhakika maana hii ni kama prdction wakuu
Siombi radhi vilaza kama wewe.
jamani hebu muuweke vizuri mi simu inAshindwa kufungua android
nimekupata xna br.weka no.yako yaNaomba nifafanue thread yangu. Ilikuwa walioko mwaka wa pili na watatu waanze mitihani yao tar 19 mwez huu lakin wamesogezewa mpaka tar 9-23 sept wametuma walaka kila chuo ambapo selection zitafanyika tar 16-28 sept na watatangazwa watakaochaguliwa tar 5-11 octoba. Hiyo ni hakika. Ukitaka maelezo zaidi ni pm nikupe namba yangu ili tuwasiliane by oral.
nimekupata xnaNaomba nifafanue thread yangu. Ilikuwa walioko mwaka wa pili na watatu waanze mitihani yao tar 19 mwez huu lakin wamesogezewa mpaka tar 9-23 sept wametuma walaka kila chuo ambapo selection zitafanyika tar 16-28 sept na watatangazwa watakaochaguliwa tar 5-11 octoba. Hiyo ni hakika. Ukitaka maelezo zaidi ni pm nikupe namba yangu ili tuwasiliane by oral.
nimekupata xna br.weka no.yako ya
cm kk fo comunicate &u!
mambo yako mbioni kutoka tuone kama tumesanda au tumepita kwenye ushindani..kama vp tuchek inshu nyingine mapema but sio pa kutegemea sanaNaomba nifafanue thread yangu. Ilikuwa walioko mwaka wa pili na watatu waanze mitihani yao tar 19 mwez huu lakin wamesogezewa mpaka tar 9-23 sept wametuma walaka kila chuo ambapo selection zitafanyika tar 16-28 sept na watatangazwa watakaochaguliwa tar 5-11 octoba. Hiyo ni hakika. Ukitaka maelezo zaidi ni pm nikupe namba yangu ili tuwasiliane by oral.