kwa-muda JF-Expert Member Joined Sep 5, 2018 Posts 2,101 Reaction score 5,442 Sep 22, 2024 #21 Fabian Vitus said: Mmmmh mbn kazi ipo hapa tutatoboa kwerππππ¦ Click to expand... Ni uongo bot wenyewe wamesema ni uzushi
Fabian Vitus said: Mmmmh mbn kazi ipo hapa tutatoboa kwerππππ¦ Click to expand... Ni uongo bot wenyewe wamesema ni uzushi
Fabian Vitus JF-Expert Member Joined Jul 18, 2022 Posts 6,347 Reaction score 8,254 Sep 22, 2024 #22 Wacha Tusubiri nini kitafuata
Kapeace JF-Expert Member Joined May 26, 2017 Posts 26,224 Reaction score 71,873 Sep 22, 2024 #23 Machawa bhana kama vile wote ni wahaya yani eti mwanamke wa kwanza fyoko fyoko, sifa zitawaua panya nyie
Machawa bhana kama vile wote ni wahaya yani eti mwanamke wa kwanza fyoko fyoko, sifa zitawaua panya nyie
KJ07 JF-Expert Member Joined Dec 17, 2021 Posts 2,446 Reaction score 5,541 Sep 22, 2024 #24 Hata ingekuwa kweli tungefanya nini sisi panya mbele ya paka hawa. Solution ni moja. Mungu teketeza taifa hili lote. Wote tukose Full stop
Hata ingekuwa kweli tungefanya nini sisi panya mbele ya paka hawa. Solution ni moja. Mungu teketeza taifa hili lote. Wote tukose Full stop
pmwasyoke Platinum Member Joined May 27, 2010 Posts 5,037 Reaction score 3,923 Sep 22, 2024 #25 Hata hivi kwa thamani ya fedha zetu Ilivyoshuka miaka ya hivi karibuni BOT wangeanzisha noti za Tsh 20,000 na 100,000
Hata hivi kwa thamani ya fedha zetu Ilivyoshuka miaka ya hivi karibuni BOT wangeanzisha noti za Tsh 20,000 na 100,000
HOLY BLINDFOLD JF-Expert Member Joined Jun 13, 2024 Posts 3,690 Reaction score 6,380 Sep 22, 2024 #26 kwa-muda said: Acheni uongo BOT wamesema ni uzushiView attachment 3103394 Click to expand... Yanaanza hivi Sijui feki kumbe wanacheki upepo,,Wanyonge watatamka lipi?zitapigwa Kelele weeeh,,Wanatujua wazee wa bendera fuata upepo,,wazee wa trendini,,Inatafutwa sababu na inakuwa hivyo.
kwa-muda said: Acheni uongo BOT wamesema ni uzushiView attachment 3103394 Click to expand... Yanaanza hivi Sijui feki kumbe wanacheki upepo,,Wanyonge watatamka lipi?zitapigwa Kelele weeeh,,Wanatujua wazee wa bendera fuata upepo,,wazee wa trendini,,Inatafutwa sababu na inakuwa hivyo.
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 61,235 Reaction score 98,463 Sep 22, 2024 #27 Mbona naona kama habari zimeshakanushwa