Poultry Shortage In Dar and Tz after Import Ban from Kenya.

Read and understand.."Retail Prices" Not wholesale/ Farm prices..Ofcourse broiler in my village are 380 bob farm price.
I prefer free range though, sababu ya supu mimi ni mzee 😀
Hahaha! [emoji1] Sina time ya kubishana ili tubishane tu, hadi umeanza kupeana too much information. Sasa outlets nilizokueleza si ni retail? Kwahivyo supermarket ndio retail na butcher ni wholesale? Siiitiupid old man.
 
Price has risen from $2.8 (280ksh) to $4.50(450 ksh)
A kg of Chicken in nairobi is 600 bob(150 bob) more than Tz.
Owing to the cheap cost of feed in Tz, The Farmer there must be making a killing $$$
Way to go
chicken is 400 bob..kiyenyeji is 600
 
chicken is 400 bob..kiyenyeji is 600
Supermarket prices, right? Achana na huyo pimbi, kwenye kila jambo kuhusu Kenya lazima apeane takwimu za kijinga eti ndio awafurahishe wenzake.
 
Acha urongo kuku wapo wa kutosha, na tunao wa Kienyeji wengi sana, Samaki wa maji baridi wapo tele. Kwa maana nyingine hatuna shortage ya vitoweo
 
Nimependa sana muamko wa vijana wa kikenya kwenye ukulima biashara, yaani hadi siku hizi kwenye Tv. vipindi vya burudani vimewekwa kando na vya kujifunza ukulima ndio vimekuwa mtindo mpya.
me too...kenyans are very ingenious and ambitious...mara nyingi huwa wanakosa capital tu hao vijana ila wana nia na bidii kubwa sana...#longlivekenyanyouth
 
Supermarket prices, right? Achana na huyo pimbi, kwenye kila jambo kuhusu Kenya lazima apeane takwimu za kijinga eti ndio awafurahishe wenzake.
Trying to force his opinions.
 
Hahaha! [emoji1] Sina time ya kubishana ili tubishane tu, hadi umeanza kupeana too much information. Sasa outlets nilizokueleza si ni retail? Kwahivyo supermarket ndio retail na butcher ni wholesale? Siiitiupid old man.
Supermarket is the Standard source of Retail prices..The kibandas you frequent and eat what we call in Gikuyu "Mwohou" assuming its chicken is not included..
Stick to your lane wacha kutuletea bei za mukuru kwa reuben
 
Na tukiwaambia these are lazy bones wanashika hasira.....
 
Yani hili suala la kuku nalisikia kwenye mitandao tu. Nipo hapa Dodoma, Chako ni Chako ninavunja mifupa ya kuku aliyechomwa kwa Tsh 10,000 which = 440ksh.
Mkuu wanazungumzia kwenye mahoteli makubwa yanayochukua kuku wengi daily
 
Nakuona unavojiliwaza kijana wa dar. Kuku wanafugwa kwa wingi sana Kenya hadi wanauzwa kama street food jioni mitaani. Wenyewe wanaziita spare part yaani ukitafa firigisi hamsini au drumstick ishirini za kupunguza stimu za kileo unauziwa on the spot.
Sasa mbona hii system ipo mitaani Tanzania since the beginning
 
Vifaranga walichomwa moto na serikali alafu walivyoiva wakapelekwa pale lumumba makada wakanywa na chai.
 
Mkuu wanazungumzia kwenye mahoteli makubwa yanayochukua kuku wengi daily
Kwahiyi hayo mahotel makubwa ndio wanakula kuku wengi kuliko sisi huku mitaani!? Hebu acheni bhana hizo issue.
Kama sisi local people bei ni ileile iweje wa generalize!? Kama supplier wao amewakunjia wabadili supplier.
Tanzania kila kona kuku wa kumwaga. Wapo interchick wanamwaga kuku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…