Poultry Shortage In Dar and Tz after Import Ban from Kenya.

Poultry Shortage In Dar and Tz after Import Ban from Kenya.

View attachment 884930Naivas sells it at 460 what of cheaper joints in rongai,kitengela..wacha ufala
Nimepitia kwenye site yenu. Hizi ndizo bei
IMG_20181002_210711_680.jpg
 
Kuku hawajawahi panda bei.. ni uzushi tu! Tena hapa tunataja bei ambazo kuku yupo kwenye sahani tayari kwa kuliwa ila bado ni chini kulinganisha na Nai kwa huyo mwandishi alieandika hiyo taharifa. Ukonga kuku nusu ni 4000 hapo amesha kaangwa au kuchomwa! Maeneo mengine ina range 4000-5000. Kuna mtu anataja mahoteli hapa tuna ongelea sehemu za general.
Ni maajabu makubwa haya
 
Apparently you think I give a rats ass about who you think I am. My first venture as a fresh eyed budding entrepreneur gave me big returns while I was still a freshman doing my undergraduate studies at The UoN. Digest that and get a fever.
Kijakazi wa maasai. Pathetic peasant
 
yaani hawa wenzetu ni watu bongolala sana....serikali inapiga marufuku kuku toka nje ili wakulima wa ndani wainuke ila hata baada ya hayo yote wanashindwa kutosheleza soko😵😵...bure kabisa!...kumbe ule msemo wa wabongo kukosa ukakamavu ni kweli...these guys are not gogetters enough🙄🙄...ingekuwa kenya watu wangechamgamkia hio opportunity mpaka itii😀😀
Hakuna kitu mkenya anaweza kumuambia mtanzania juu ya ufugaji wa kuku

Saivi biashara ya poultry 🐔 Tanzania ni home business ipo common mbaya kiasi kwamba kila nyumba kuna wafuga kuku sasa nyie tu bei ya kuku zenu ni ghali mara mbili ya Tanzania alafu ndio mje kuwafundisha watanzania namna ya kufuga?

Hii bei Kenya haitakaa itokee
IMG_20181002_212758_167.jpg
 
Asante sana ndugu kuendelea kuelimisha jamii ya East Africa.
First of all we don't buy chicken in metric measurements. Ninashangaa sana huyu mtu kapata taarifa wapi.
Hizo zitakuwa bei za hotelini na supermarket lakini huku mitaani Dar kuku mzima alieandaliwa kwa chakula ni Tsh8000 hadi 10,000/- hawa broiler.
Local markets kama Kisutu, Shekilango, Tandale, n.k. hiyo mikuku ya broiler ni mingi mteja unabembelezwa na wauzaji.

Hiyo shortage ni uzushi tu na agenda ya siri.
 
Ni kwamba kwenye suala la gharama za maisha kwa ujumla Kenya haiwezi kutunishiana misuli na Tanzania, maisha tan ni rahisi kupita maelezo na labda ndio maana wanatuita wavivu sababu mtanzania hawazi kuhusu chakula kabisa labda awaze Ada za watoto au miradi

Lakini mkenya kitu cha kwanza kichwani kwake ni kuwaza namna ya kulipigania tumbo kwanza kabla ya mambo mengi yote

Menu ambayo masikini wa Tanzania anakula ni menu ya upper class wa Kenya
 
Mie nafuga na kulima ila maujanja yote napata kwa wakenya na warwanda yaani vijana wa hizi nchi wameamka sana. Is true kuna uhaba mkubwa wa vifaranga wa nyama kwa sasa
Nawajua vijana wengi sana huku Kenya ambao wamejishughulisha na kilimo biashara. Nadhani dhana ya kizimani ya ukulima kuchukuliwa kama nyanja ya wazee imefifia kwa sana.
 
View attachment 884930Naivas sells it at 460 what of cheaper joints in rongai,kitengela..wacha ufala
The market in the outskirts of Nairobi, Kajiado and Machakos Counties is flooded with chicken. All the big Companies breeding chicken have multiple farms stationed there, Kenchic, Sigma and others, on top of that alot of small scale farmers are doing serious chicken breeding. I know young farmers who are selling chicken meat at 300Ksh for a WHOLE mature broiler not a Kg. Infact if anyone is into that line of biz I can connect him to a guy.
 
Hakuna kitu mkenya anaweza kumuambia mtanzania juu ya ufugaji wa kuku

Saivi biashara ya poultry 🐔 Tanzania ni home business ipo common mbaya kiasi kwamba kila nyumba kuna wafuga kuku sasa nyie tu bei ya kuku zenu ni ghali mara mbili ya Tanzania alafu ndio mje kuwafundisha watanzania namna ya kufuga?

Hii bei Kenya haitakaa itokee View attachment 884989
alafu iweje mnaingiza toka kenya?😵😵plus shortage imetokana na nini? kuhusu bei, kuna mambo mengi yanahusika hapa..kwanza tanzania ni nchi LDC huwezi ukapandisha bei ya bidhaa muhimu ovyo ovyo...ni nani atanunua? Pili, Nairobi ni business hub you can't compare to any city in tz..this makes everything expensive including foodstuff...
 
Nawajua vijana wengi sana huku Kenya ambao wamejishughulisha na kilimo biashara. Nadhani dhana ya kizimani ya ukulima kuchukuliwa kama nyanja ya wazee imefifia kwa sana.
Yaah kwa sasa ndo kazi tunafanya and mind you ni kazi ambayo hupati usumbufu n watu tax and other levies kwana nao wako na yale mawazo ya kizamani kuwa huko mashambani wanakaa wazee
 
Arusha watu wanamaisha yaani na pop yake ndogo lakin gharama Za maisha ziko juu kuliko Dar
 
Yani hili suala la kuku nalisikia kwenye mitandao tu. Nipo hapa Dodoma, Chako ni Chako ninavunja mifupa ya kuku aliyechomwa kwa Tsh 10,000 which = 440ksh.
Siyo 14000 mkuu
 
alafu iweje mnaingiza toka kenya?😵😵plus shortage imetokana na nini? kuhusu bei, kuna mambo mengi yanahusika hapa..kwanza tanzania ni nchi LDC huwezi ukapandisha bei ya bidhaa muhimu ovyo ovyo...ni nani atanunua? Pili, Nairobi ni business hub you can't compare to any city in tz..this makes everything expensive including foodstuff...
Hivi kuku Marekani ni bei gani?
McDonald's, KFC kuku ni bei gani ukilinganisha na Kenya?

Tanzania tulikua tunachukua chic 🐥 not chicken 🐔 tena ilikua ni mostly Arusha tu sababu mikoa mingine huko kila mfugaji ana incubator yake.

Tanzania chakula cha kuku ni cheap na wengi wanajitengenezea wenyewe, hakuna taxes wala vat kwenye poultry accessories at all that's why kuku ni rahisi compared to Kenya na tayari we were sufficient to the demand, what you brought was surplus

Kama bei ingekua juu kama hiyo toilet 🚽 paper 📄 yenu inavyosema mpaka saivi ungeona comments za kusapoti na ninavyojua upinzani wasingenyamaza sababu poultry industry inaajiri watanzania wengi sana ni lazima ingetumika kama kiki
 
Sasa Wakenya bhana......
Mambo ya kuku wetu yanawahusu nini....
Nyie kuleni wenu wa bei chee na mtuache sie na kuku wetu tule kwa bei juu,

WALA HAYAWAHUSU

Kwetu huku ukikosa kuku utakula dagaa, samaki, nyama ng'ombe, mbuzi au kondoo..... Kitoweo sio shida kabisa huku kwetu
 
Nawajua vijana wengi sana huku Kenya ambao wamejishughulisha na kilimo biashara. Nadhani dhana ya kizimani ya ukulima kuchukuliwa kama nyanja ya wazee imefifia kwa sana.

Vijana wa Kenya wamechelewa
Wenzao wa Tanzania shambani ndio next step baada ya University 🎓
 
Wasipoelewa hapa basi.

Vijana wa Kenya wamechelewa
Wenzao wa Tanzania shambani ndio next step baada ya University
Nawashauri mpitie kwenye website za Seeds of Gold au mtizame vipindi vyao kwenye NTV, au jarida lao kwenye DailyNation. Kuna nyingine pia Smartfarm kwenye CitizenTv au MkulimaBora kwenye stesheni zingine na kwenye mitandao ya kijamii. Kwa wale wote ambao wapo serious na ukulima biashara, wakenya kwa watanzania, mtajifunza mengi sana kuhusu ukulima biashara wa kisasa kutoka kwa wakulima wa kikenya na pia wataalamu ambao wako supported na utafiti wa kisayansi na vetinary extension services. Aquaponics, ufugaji wa aina zote ukulima wa uyoga n.k, mtazipata kutoka kwa project hizo hapo. Cc. BLUE DOG
 
Back
Top Bottom