Nawashauri mpitie kwenye website za Seeds of Gold au mtizame vipindi vyao kwenye NTV, au jarida lao kwenye DailyNation. Kuna nyingine pia Smartfarm kwenye CitizenTv au MkulimaBora kwenye stesheni zingine na kwenye mitandao ya kijamii. Kwa wale wote ambao wapo serious na ukulima biashara, wakenya kwa watanzania, mtajifunza mengi sana kuhusu ukulima biashara wa kisasa kutoka kwa wakulima wa kikenya na pia wataalamu ambao wako supported na utafiti wa kisayansi na vetinary extension services. Aquaponics, ufugaji wa aina zote ukulima wa uyoga n.k, mtazipata kutoka kwa project hizo hapo. Cc.
BLUE DOG