pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Kajiado County, all the chicken you eat in Nairobi comes from those sides. Kibanda, Mukuru na Kajiado wapi na wapi? Recieve sense old man! 😎Supermarket is the Standard source of Retail prices..The kibandas you frequent and eat what we call in Gikuyu "Mwohou" assuming its chicken is not included..
Stick to your lane wacha kutuletea bei za mukuru kwa reuben
😁 sasa sijui wanafikiri wakiandika hivyo ndio wataonewa huruma JPM afungue mipakaHawa jamaa wanakaa chumbani na kutunga stories za uongo kuhusu TZ.
Wasipobadili namna ya uandishi wa habari tutazidi kuwakazia tu.
Hawa jamaa wanakaa chumbani na kutunga stories za uongo kuhusu TZ.
Wasipobadili namna ya uandishi wa habari tutazidi kuwakazia tu.
Honestly sijawahi kuona shortage ya kuku wala kuku kupanda bei
Kuku kilo bado ni 6,000
Kuku choma nusu ni 5,000 constantly
Wabongo bana, aliyelalama ni Manase Mrindwa, Secretary General, Tanzania Poultry Breeders Association alafu Naibu waziri, Abdalah Ulega akaongea kuhusu mikakati inayofanywa kusuluhisha shida yenyewe. Kama wanahabari wote wana nia mbaya na Tz wafateni hao wawili ambao wameanikwa hapo hadharani kama source ya info ya taarifa.Acha urongo kuku wapo wa kutosha, na tunao wa Kienyeji wengi sana, Samaki wa maji baridi wapo tele. Kwa maana nyingine hatuna shortage ya vitoweo
Any chicken selling at 250 is a dead or sick one even Tz or in UG you cant get a chicken at $2.50.. I didnt know you are in this kind of peasantry.. It make me feel like vomiting...pambana na hali yako my fren..Stop hiding behind behind the keyboard when infact you are employed by maasai in kajiado to look after their cattle..Kajiado County, all the chicken you eat in Nairobi comes from those sides. Kibanda, Mukuru na Kajiado wapi na wapi? Recieve sense old man! 😎
Hawa jamaa uendeshaji wa biashara wamezidiwa na TZ. Trey moja ya mayai 30 unauziwa tsh 6000-8000 kulingana na location.Sasa gazeti lenyewe la Kenya unategemea waandike nini?
Eti mayai yamepanda? Hii ni mpya kwangu kabisa
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Ofcourse the dead ones and sickly are 400bob..Stop parading your lowlife here bwana
Ila kwa bei ya juu kuliko DarNakuona unavojiliwaza kijana wa dar. Kuku wanafugwa kwa wingi sana Kenya hadi wanauzwa kama street food jioni mitaani. Wenyewe wanaziita spare part yaani ukitafa firigisi hamsini au drumstick ishirini za kupunguza stimu za kileo unauziwa on the spot.
Hizo bei zipo hivyo hivyo kabla na baada ya kuchoma vifaranga vyao, me nashangaa hakuna gazeti la Tanzania wala blogger au media yoyote iliyoripoti hilo ongezeko tunalolisikia hapa.Hawa jamaa uendeshaji wa biashara wamezidiwa na TZ. Trey moja ya mayai 30 unauziwa tsh 6000-8000 kulingana na location.
Mayai ya kuku wa kienyeji ni kati ya tsh 9000 na 15000. Na bei iko hivyo hivyo miaka kadhaa sasa.
Nyama ya ng'ombe kilo moja ni kati ya tsh 4000 na 6000. Sasa sijui hawa adui zetu wanapata wapi hizo taarifa.
Nimetoka kula kuku choma hapa Dodoma maeneo ya Chako ni Chako. Kuku wa kienyeji Tsh 10,000. Hizi ni taarifa za kwenye mitandao ya kenya tu Bro.Hizo bei zipo hivyo hivyo kabla na baada ya kuchoma vifaranga vyao, me nashangaa hakuna gazeti la Tanzania wala blogger au media yoyote iliyoripoti hilo ongezeko tunalolisikia hapa.
Alafu anakuambia aliehojiwa ni chairman wa association ya poultry 🐔 nilifikiri hata ni hawa wakaanga chips 🍟 ambao ndio business yao hiyo.
Mimi nakula chips mayai buku jero 1500 sijui hayo mayai yangepanda kwa namna hii propaganda fake inavyosambazwa mpaka saivi chips mayai ingekua 3000 lakini mbona bei ni ile ile?
Kuku hawajawahi panda bei.. ni uzushi tu! Tena hapa tunataja bei ambazo kuku yupo kwenye sahani tayari kwa kuliwa ila bado ni chini kulinganisha na Nai kwa huyo mwandishi alieandika hiyo taharifa. Ukonga kuku nusu ni 4000 hapo amesha kaangwa au kuchomwa! Maeneo mengine ina range 4000-5000. Kuna mtu anataja mahoteli hapa tuna ongelea sehemu za general.Honestly sijawahi kuona shortage ya kuku wala kuku kupanda bei
Kuku kilo bado ni 6,000
Kuku choma nusu ni 5,000 constantly
Ni kuwapuuza tu Habari yenyewe kaandika mkenyaNimetoka kula kuku choma hapa Dodoma maeneo ya Chako ni Chako. Kuku wa kienyeji Tsh 10,000. Hizi ni taarifa za kwenye mitandao ya kenya tu Bro.
Watanzania wanakula kuku mno na mayai. Bei ingekuwa imepanda tungesikia kelele.
Sasa hawa wakenya sijui tuwasaidieje. Kwa hiyo association inayohojiwa haitambuliwi na sisi wafuga kuku.
naivas supermarket..that 600 is a kienyeji chicken...how can a self proclaimed "kenyan" argue with akenyan600 bob Foodplus chandarana. Again which hell hole do you people eat from? Jeez am surrounded by peasants!
https://www.foodplus.co.ke/frozen-f...ozen-poultry.html?dir=asc&order=ispolular&p=2
Ma sister du Bongo chips kuku na chips mayai ndicho chakula chao cha mara kwa mara.Kuku hawajawahi panda bei.. ni uzushi tu! Tena hapa tunataja bei ambazo kuku yupo kwenye sahani tayari kwa kuliwa ila bado ni chini kulinganisha na Nai kwa huyo mwandishi alieandika hiyo taharifa. Ukonga kuku nusu ni 4000 hapo amesha kaangwa au kuchomwa! Maeneo mengine ina range 4000-5000. Kuna mtu anataja mahoteli hapa tuna ongelea sehemu za general.
Any chicken selling at 250 is a dead or sick one even Tz or in UG you cant get a chicken at $2.50.. I didnt know you are in this kind of peasantry.. It make me feel like vomiting...pambana na hali yako my fren..Stop hiding behind behind the keyboard when infact you are employed by maasai in kajiado to look after their cattle..
Peasant
Mie nafuga na kulima ila maujanja yote napata kwa wakenya na warwanda yaani vijana wa hizi nchi wameamka sana. Is true kuna uhaba mkubwa wa vifaranga wa nyama kwa sasaNimependa sana muamko wa vijana wa kikenya kwenye ukulima biashara, yaani hadi siku hizi kwenye Tv. vipindi vya burudani vimewekwa kando na vya kujifunza ukulima ndio vimekuwa mtindo mpya.
ofcourse 1.2 kg capon is 600 bob. Hizi kuku mnasema za 250 bob sijui ni za wapi ama ni kunguruView attachment 884930Naivas sells it at 460 what of cheaper joints in rongai,kitengela..wacha ufala
Apparently you think I give a rats ass about who you think I am. My first venture as a fresh eyed budding entrepreneur gave me big returns while I was still a freshman doing my undergraduate studies at The UoN. Digest that and get a fever.Any chicken selling at 250 is a dead or sick one even Tz or in UG you cant get a chicken at $2.50.. I didnt know you are in this kind of peasantry.. It make me feel like vomiting...pambana na hali yako my fren..Stop hiding behind behind the keyboard when infact you are employed by maasai in kajiado to look after their cattle..
Peasant
were talking about 1kg..in rongai its 300 kshs periodofcourse 1.2 kg capon is 600 bob. Hizi kuku mnasema za 250 bob sijui ni za wapi ama ni kunguru