Poultry Shortage In Dar and Tz after Import Ban from Kenya.

Pwahahahaha!! Nani apoteze muda kuangalia vipindi vya NTV wakiongelea ukabila.
 
Pwahahahaha!! Nani apoteze muda kuangalia vipindi vya NTV wakiongelea ukabila.
T.v show zao utazipata pia youtube, kwa lugha ya kiswahili pia kama kiingereza kinakukanganya. Kuna mafunzo mengi sana kwa vijana kuhusu kilimo biashara, na practicals kutoka kwa mashamba ya kisasa huku Kenya. Zinafatiliwa sana hadi kwenye nchi zingine kama Nigeria na Ghana. Ila naelewa kwamba wewe ni mzee wa dar, tulia basi na uendelee tu kula chipsi mayai.
 
Sasa kwa akili yako nchi modern kama Tanzania yenye TV shows za kisasa kabisa ianze kubabaikia TV shows za Kenya!?
Media zenu zipo na old fashion Gadgets.
 
Sasa kwa akili yako nchi modern kama Tanzania yenye TV shows za kisasa kabisa ianze kubabaikia TV shows za Kenya!?
Media zenu zipo na old fashion Gadgets.
Hahaa! [emoji1] Kweli kabisa mheshimiwa.
 
Nakuona unavojiliwaza kijana wa dar. Kuku wanafugwa kwa wingi sana Kenya hadi wanauzwa kama street food jioni mitaani. Wenyewe wanaziita spare part yaani ukitafa firigisi hamsini au drumstick ishirini za kupunguza stimu za kileo unauziwa on the spot.
Hhahah.spare part
 
Kama Ww ni mkulima Usingesubiri upate Habari JF ndo Ushituke...
 
It is all because of this fucken calles Tanzania under the dictatorship of looters by the name CCM. Firms are running bankrupt and the situation will get even worse in the near future but no one cares! All maCCMs will die while sticking index fingers in their anal orifices. Shame on you hooligans!!
 
Kwa hiyo wewe unaona hiyo bei ni ndogo au umetumwa kuyatetea maCCM yaliyovuruga biashara ya kuju hapa nchini?
Yani hili suala la kuku nalisikia kwenye mitandao tu. Nipo hapa Dodoma, Chako ni Chako ninavunja mifupa ya kuku aliyechomwa kwa Tsh 10,000 which = 440ksh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…