POV: Kama hauko dimbani, itumie siasa kama burudani ila utakapo kubali ikufanye chombo chake utasambaratika na wala haitakukumbuka.

POV: Kama hauko dimbani, itumie siasa kama burudani ila utakapo kubali ikufanye chombo chake utasambaratika na wala haitakukumbuka.

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
Siasa ni unafiki in general ila Siasa za kiafrika ni ushetani overall.
Ushetani mtupu usiojali utu.

Siasa ni mchezo in general ila siasa za kiafrika ni vita overall.
Vita ya kulinda kiti hata kama itahitajika damu kumwagika.

Siasa ni wizi wa fikra isiokukubali in general, ukishindwa kuiiba basi utapanga msimu ujao, ila siasa za kiafrika ni ujambazi wa fikra isiokukubali, ukishindwa kui-terrorize unaiangamiza ili uogopeshe fikra nyingine.
 
Watu wanapenda mikate mikate
Watu wanapenda mikate mikate
Siasa inawapa mikate wako tayari kufanya lolote kwa yeyote popote ili waendelee kupata mikate yao
Siasa ni mchezo mchafu na wa kikatili sana ukiishobokea kichwakichwa utapotea.
 
Hakika
 
Back
Top Bottom