Hio post ambayo umeni quote I was stressing on kila mmoja kucheza nafasi yake ipasavo... Kwamba it not only about viongozi pekee bali hata wananchi.... Kwamba hata kama we do have a responsible and reliable Leader kama mwananchi hachezi nafasi yake tatizo balo lipo pale pale katika eneo zima la Poverty Elimination. Hili ambalo nime kuqoute is my stand too.... Good thing nime post on the same thing mda sio mrefu in another thread katika nafasi ya Leaders.... na this was it (a paste)
.... It does not matter kua the leader in question kashindwa kufurahisha kila mtu (kwanza itakua vigumu else huyo leader ni mnafiki!). What matters ni kua huyo Leader anaweza dhibiti nafasi yake kiasi kwamba vitu kama ufisadi wa nje nje unakua hamna, matatizo kama mikataba feki inkua hamna, Kwamba aweze kua Mzalendo.... Awe na uchungu na nchi na wananchi.... na juu ya hapo awe na qualities of a Great leader who is not afraid of making major decisions hasa in relation to the Betterment of the Nation. Hapo Mzalendo believe me you..... Leader akiwa hivo ni rahisi hata kufanya kazi; kwamba hata kama ana delegate, atahakikisha kuna jopo za kweli za quality insurance kuhakikisha all inaenda ipasavo na to it's best.
Mzalendo kuwaangalia wananchi sio tu kua wahakikisha umewafanyia kila kitu.... HAIWEZEKANI! Ila kuhakikisha unawawekea wananchi wako mazingira ya kuweza weka wepesi katika maisha yao kwa kungalia yale ambayo yawagusa moja kwa moja. For instance katika nchi nyingi za Kiafrika tegemezi kubwa la majority katika taifa ni Kilimo.... Bahati nzuri nchi zote hizi zina rules, guidelines na principles ambazo in most cases ziko impressive on paper; BUT Unfortunatley hazitelekezwi ipasavo... Hakuna kusema kua Serkali ipo that interested katika soko la mazao, ama quality ya end product, ama Processing machines, ama incentives za kutosha in the sector na sio za ubabaishaji kama ilivo.... That mind you is just one of the ways ya kuweza boresha na kugusa wananchi directly....