Soma hiyo vizuri, sasa sijui wewe unajua zaidi ya hao wazungu waliokuletea kila kitu..
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiongozi ebu tembelea apa utaona instagram model hasa ni wapi. Wewe umeniekea screenshot ya mtu ambae ameturn kuwa model baada ya kukubalila picha yake, which means before that she wasnt a model. Unajiita model ukiwa umefanya modelling, sio unajiita model kisa unapost selfie tu huna kazi unayoifanyia modelling. Unajiita rais wakati uligombea urais tu!
Model (person) - Wikipedia