Povu la Nuh Mziwanda

Povu la Nuh Mziwanda

Scorpio Me

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2016
Posts
6,119
Reaction score
7,934
13f4e6b9f61ec07db381b8fed921e28a.jpg

Picha inajieleza....
 
Angepost tu kumsaport jamaa hayo maelezo yake hayana umuhimu wowote maana inaonyesha anaanza kujiingiza kwenye uteam sasa utakuja kumtafuna kama mwenzake baraka theprince
Ndo hapo sasa atakapoanza kuporomoka....
 
Kulikua hakuna umuhimu wa kutuonesha anam support flan na flan hamsupport.....

Kwani angevote kimya kimya nani angejua kama ye team kiba....
Duuh....kwani kuweka msanii kwenye wall yako na kumsifia kwa yale yanayokuvutia kwake kuna shida! Nuh ni artist anafollowers wengi akipost kuna watu watampigia kiba kura kupitia jina la Nuh hivyo hivyo angekuwa ney wa mitego..diamond..Darasa au hata Pogba [emoji23][emoji23]. ..

Sina timu hivyo hatutaelewana [emoji126][emoji126]
 
Nimeaanisha hio caption yake
 
Nyimbo aloimba na kiba ndio imempa kazi fiesta[emoji3] so nisawa tu
Yeah nyimbo yake ni nzuri kiukwel....

btw nilisikia Kiba ile video alifanya bure...hakutaka Nuh amlipe....
 
Back
Top Bottom