Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,934
Picha inajieleza....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida hawampendi Ali, ingekua domo wangefurahi.Sioni tatizo cha zaidi kaeleza anachokipenda kwa jamaa ndiyo maana anamsapoti
Kulikua hakuna umuhimu wa kutuonesha anam support flan na flan hamsupport.....Sioni tatizo cha zaidi kaeleza anachokipenda kwa jamaa ndiyo maana anamsapoti
Ndo hapo sasa atakapoanza kuporomoka....Angepost tu kumsaport jamaa hayo maelezo yake hayana umuhimu wowote maana inaonyesha anaanza kujiingiza kwenye uteam sasa utakuja kumtafuna kama mwenzake baraka theprince
Kiba ni kimbilio la wasanii wasio na nyota[emoji276] ....so lazma Nuh ampende...ahaaa huyu anampenda sana alli
Duuh....kwani kuweka msanii kwenye wall yako na kumsifia kwa yale yanayokuvutia kwake kuna shida! Nuh ni artist anafollowers wengi akipost kuna watu watampigia kiba kura kupitia jina la Nuh hivyo hivyo angekuwa ney wa mitego..diamond..Darasa au hata Pogba [emoji23][emoji23]. ..Kulikua hakuna umuhimu wa kutuonesha anam support flan na flan hamsupport.....
Kwani angevote kimya kimya nani angejua kama ye team kiba....
Nimeaanisha hio caption yakeDuuh....kwani kuweka msanii kwenye wall yako na kumsifia kwa yale yanayokuvutia kwake kuna shida! Nuh ni artist anafollowers wengi akipost kuna watu watampigia kiba kura kupitia jina la Nuh hivyo hivyo angekuwa ney wa mitego..diamond..Darasa au hata Pogba [emoji23][emoji23]. ..
Sina timu hivyo hatutaelewana [emoji126][emoji126]
Yeah nyimbo yake ni nzuri kiukwel....Nyimbo aloimba na kiba ndio imempa kazi fiesta[emoji3] so nisawa tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]na ashukuru kibuti alicho kula sijui angeimba nini