Povu la Sallam wa WCB Kwa Watu Wasiojulikana!!

Povu la Sallam wa WCB Kwa Watu Wasiojulikana!!

Chige

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2008
Posts
13,495
Reaction score
29,872
Sitii, wala kuongeza neno, alichosema ni:

Kumbe tatizo ni kumpoteza huyu kijana?????? Waambie familia yako na wazazi waliyokuleta katika haya maisha huyu MTOTO kaletwa kwa makusudi maisha haya, ili kuleta ukombozi ya dhulma uliyokuwa unaleta kwenye Taifa hili, unatikiwa kujua Kwanza hili Taifa sasa Rais anaitwa John Pombe Magufuli.

Chibu.png

NOTE: Nilisema sitii neno, nimeghairi!

Ni kwamba, Sallam sio mvumilivu kabisa, na kama Diamond angekuwa ndo Sallam, huko Instagram ingekuwa balaa kila siku!! Sallam asikie au ahisi kitu halafu anyamaze, thubutu!!
 
Mnataka niwaunganishie Clips?

Clip ya kwanza hii hapa:

"Hawa ni wachezaji wazuri sana wa pool table ambao wanakipindi kizuri sana kinaitwa Shiladu kwenye Channel ya Cloud TV utawakuta wanacheza Pool Table jana nilikuwa nao nacheza nao Pool Table mitaa ya kati Video zingine zinakuja mtapendezewa sana pale kipindi chao kizuri sana sababu ni wachangamfu sana."

Chibu2.png
 
"Bibi kuvaa Dera sio tatizo.., tatizo ni pale linapohitaji kulishikilia au kulichomekea"..,
 
Sitii, wala kuongeza neno, alichosema ni:

Kumbe tatizo ni kumpoteza huyu kijana?????? Waambie familia yako na wazazi waliyokuleta katika haya maisha huyu MTOTO kaletwa kwa makusudi maisha haya, ili kuleta ukombozi ya dhulma uliyokuwa unaleta kwenye Taifa hili, unatikiwa kujua Kwanza hili Taifa sasa Rais anaitwa John Pombe Magufuli.

View attachment 691914

NOTE: Nilisema sitii neno, nimeghairi!

Ni kwamba, Sallam sio mvumilivu kabisa, na kama Diamond angekuwa ndo Sallam, huko Instagram ingekuwa balaa kila siku!! Sallam asikie au ahisi kitu halafu anyamaze, thubutu!!
Ujinga ujinga tu...
 
Kwahiyo niongeze na jukumu la kukeep up na umbea ili posts kama hizi nizielewe?
 
Ila Sallam mambo yake kama Isha Mashauzi. Anyway, nawakubali WASAFI, kama wameamua kusimama kivyao wasimame kivyao, wasimuweke yule pimbi Bashite kwenye mambo yao atawaharibia, hakuna kitu kimesimamiwa na Bashite kikafanikiwa
Huyo sallam mnafiki sana yeye ndo wa kwanza kumuangusha diamond nani asiejua? Toka aanze kummanage mond kila mahali mond anakuwa na beef ni kwanini?
Diamond ana beef na global magazeti ya shigongo hayamuandiki kisa sallam.sasa clouds
Imefika wakati diamond aachane na sallam
 
Global washasanda siku hizi kila siku front page zao lazma kmkute Chibu Denga....
 
Back
Top Bottom