Ujinga ujinga tu...Sitii, wala kuongeza neno, alichosema ni:
Kumbe tatizo ni kumpoteza huyu kijana?????? Waambie familia yako na wazazi waliyokuleta katika haya maisha huyu MTOTO kaletwa kwa makusudi maisha haya, ili kuleta ukombozi ya dhulma uliyokuwa unaleta kwenye Taifa hili, unatikiwa kujua Kwanza hili Taifa sasa Rais anaitwa John Pombe Magufuli.
View attachment 691914
NOTE: Nilisema sitii neno, nimeghairi!
Ni kwamba, Sallam sio mvumilivu kabisa, na kama Diamond angekuwa ndo Sallam, huko Instagram ingekuwa balaa kila siku!! Sallam asikie au ahisi kitu halafu anyamaze, thubutu!!
Hata sijaelewa
Huyo sallam mnafiki sana yeye ndo wa kwanza kumuangusha diamond nani asiejua? Toka aanze kummanage mond kila mahali mond anakuwa na beef ni kwanini?Ila Sallam mambo yake kama Isha Mashauzi. Anyway, nawakubali WASAFI, kama wameamua kusimama kivyao wasimame kivyao, wasimuweke yule pimbi Bashite kwenye mambo yao atawaharibia, hakuna kitu kimesimamiwa na Bashite kikafanikiwa
Global washasanda siku hizi kila siku front page zao lazma kmkute Chibu Denga....Huyo sallam mnafiki sana yeye ndo wa kwanza kumuangusha diamond nani asiejua? Toka aanze kummanage mond kila mahali mond anakuwa na beef ni kwanini?
Diamond ana beef na global magazeti ya shigongo hayamuandiki kisa sallam.sasa clouds
Imefika wakati diamond aachane na sallam