Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
- Thread starter
- #141
Anipe mifuko nane tu ya cement nimpe simu mingine ntajua mbele kwa mbele@evelyn salt hebu ukuje useme simu yako tofali ngapi?
Ila haya maisha jamani khaaah!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anipe mifuko nane tu ya cement nimpe simu mingine ntajua mbele kwa mbele@evelyn salt hebu ukuje useme simu yako tofali ngapi?
Ila haya maisha jamani khaaah!!
Hata sio mwenye nyumba madame soma tenaUmepanga wapi hukooo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mwenye nyumba kichefuchefuu!!!pole
Itatosha hata lori la mchanga kweli?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
RRONDO njoo ununue tecno ya madam jamani nae aanze ujenzi.
Jitahidi uanze kujenga kidogo kidogoNakaa kwa shemeji
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Anipe mifuko nane tu ya cement nimpe simu mingine ntajua mbele kwa mbele
Tutajua mbele ya safari.I
Itatosha hata lori la mchanga kweli?
Sina hela ya kujenga mdogo angu nnayo ya bia tuJitahidi uanze kujenga kidogo kidogo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], cha muhimu anakula anashiba.Unajenga mwili [emoji23] [emoji23] [emoji23] utalaza kitambi juu ya mti shauri ako
Kuna jamaa yangu mmoja aliamua kujenga nyumba, hakutaka kupanga. Uzuri alikuwa na kindinga chake hivyo alikitumia kama kitanda hadi nyumba ilipokamilika, uzuri pesa aliibahatisha fasta hivyo kuchukua muda mfupi nyumba kukamilika.cha muhimu gari ..natafuta parking nalala tuuh kesho yake maisha yanaendelea kama yahaya yaniii.
Tafuta hela acha makasiriko tichaHata siwasalimii...... hivi nyie mliofanikiwa kujenga mkoje lakini? Mbona mnajifanya kama vile mlitoka tumboni kwa mama zenu na cement mkononi, mmefika tu duniani na kuanza ujenzi, sio kudolishia huko na hapo utakuta kinyumba chenyewe cha kawaidaaa tu mxyuuu (japo mie hata nyumba isio na mlango tu sina 😂 )
Nnaowaongelea hapa hata sio wapokea kodi wetu, ila ni wapenzi watazamaji tu ambao wapo interested na kujua wapi tunalaza vitambi vyetu, kuna vitu kabla haujaongea hebu jiulize mara mbili unaemwambia kitamgusa vipi, imagine unakutana na Mimi sasa nakuuliza mwanao anasoma shule gani unanijibu chaurembo secondary halafu nianze kukushangaa haaa unamsomeshaje huko mie siwezi asee wangu yupo st nanii huko hivo utajisikiaje??? Au mtu anakuuliza unafanya kazi gani, unawezaje kufanya hiyo kazi mie siwezi mxyuuuuuuuuuu
Hivi ushawahi kukutana na kejeli za wenye nyumba? Usiombe awe kakupa na lift jamani utatamani upenye dirishani sijui gari lina dirisha sijui mlango eeh hapo hapo. Swali linaanza kama pepa la hesabu, unapokaa umejenga, ukijibu tu nimepanga...cha kwanza atakutolea mijicho, ndio aanze kushangaa sasa heeeee yani umepanga mi siwezi nna nyumba mbili siwezi kabisa kupanga yani kodi hapana dah siwezi pyeeeee kajambe kule bana hata Kobe na konokono wana nyumba zao tena wao wanatembea nazo kabisa na hawana hata makuu, ndio sijajenga sasa ka vipi nijengee....mafao yenyewe tu nikistaafu nitayanywaaaa yani ntafunga bar!!!!!!
Povu povu tu.😏
🤣🤣🤣🤣Wanasemaga nyumba sio makalio ya kichini kila anaetaka anaweka tuuu
HahahaNinoma sana aisee umri ukienda alafu bado upo kwenye nyumba yakupanga alafu kipindi ambacho unastaafu unakutana na 50/50 utatamani ardhi ipasuke uingie
Imeuma 🤣🤣Yani ni from no where tu, mtu ndio kwanza kakuona siku ya kwanza
KwambaWote tujenge wenye nyumba si watakosa wateja